Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mjini Kahama katika mapokezi ya Tundu Lissu

Ukiona bodaboda usiamini, mwaka fulani walipewa elfu 10 na full tank mafuta kumpokea mtia nia.
Hao wanahesabu day work tu. Hela yako. Ni kama madada poa tu
Siyo kwamba Bodaboda hawana moyo, leo kijijini kwetu Bodaboda wameandamana na kutoa elfu kumi kumi, kwenye msiba wa Boda mwenzao!
 
Upinzani umekufa unaogopa hata kutoa media coverage kwa kitu kilichokufa ,haya majitu bila polisi,tumeccm,usalama was taifa wa ccm hayakubaliki kabisa.
 
Siyo kwamba Bodaboda hawana moyo, leo kijijini kwetu Bodaboda wameandamana na kutoa elfu kumi kumi, kwenye msiba wa Boda mwenzao!
Ukitaka kujua bodaboda wana ushirikiano wao , gonga mmoja na Gari ukimbie. Kunguru wa Zanzibar wakasome. Watakufukuza Dar-Moro. Na ukipita kijiwe wanaunga waliopo
 
Lissu ni mgombea ambaye atapata kura kiduchu kuliko wagombea wote wa urais waliowahi kugombea tangu mfumo wa vyama vingi umeanza.

Mtoa post umepotosha sana tena sana hakuna mamia waliojitokeza kumpokea Lissu zaidi ya bodaboda waliopewa litre 2 za mafuta kila mmoja.

Hakuna shuguli yoyote iliyosimama mji wa kahama zaidi ya propaganda zako, hata clip yako unaonyesha hivyo.

Kama kweli mmepata mapokezi ya kishindo mngeweka picha Kama wanavyofanya wenzenu wa ACT.
 
Tatizo lako siku mbili hizi unakuwa busy sana hadi unasahau umuhimu wa kutupia picha angalau
Kuna wakati Molemo ananiuzi hadi natamani angekuwa kijana wangu nikikutana naye nimlambe hamsa wa ishirini kwa jinsi anavyo tunyima uhondo.
Ila hata hivyo namsamehe najua majukumu ni mengi kwa sasa.
USHAURI;
Kitengo cha habari kiajiri vijana mahiri hata kwa ajira ya muda miezi mitatu hii na wawapokee hata wa kujitolea maana wapo wengi wafanye kazi hii kwa wepesi zaidi
 
Ukitaka kujua bodaboda wana ushirikiano wao , gonga mmoja na Gari ukimbie. Kunguru wa Zanzibar wakasome. Watakufukuza Dar-Moro. Na ukipita kijiwe wanaunga waliopo
Ndicho nnachosema, wana moyo na ni watu pia! Huwezi kusema kila kitu ni ili waingize day tu! Ila pia kuwekewa mafuta Siyo mbaya sana, naweza kuwa naipenda CDM na TAL, lakini pikipiki yangu na mafuta havitambui mapenzi yangu hayo!
 
Mi nimesema kile kilitokea kama hutaki ,endelea
 
Back
Top Bottom