Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

“Kwenye miaka mitano iliyopita tumefanikiwa kufufua usafiri kwenye Ziwa Victoria. Meli ya MV Victoria Hapa Kazi Tu imeanza kufanya kazi, hongereni sana wana Kagera inaitwa Mama Koku.”
Rais Magufuli Bukoba mjini.
 
Leo huko Bukoba JPM anaongea madini tupu. Kura za wana kagera zitafulika kwako.

Mungu aendelee kukulinda kiongozi wetu.
Subiri wana kupinga pinga waje na sera yao ya majimbo na ya kuwaachia ma sheikh wa Uamsho, ndio utajua music wao
 
Tunakuja kukumbushia ya tetemeko na kufuta nyayo zake haraka sana
 
Subiri wana kupinga pinga waje na sera yao ya majimbo na ya kuwaachia ma sheikh wa Uamsho, ndio utajua music wao
Akili zenu ziko programmed kama marobot!Hata hujajua alichosema ila unakurupuka tu kuandika!
Mmebakiza akili za kuvukia barabara tu,nyingine mmekabidhi kwa wanaojaza matumbo yenu!
 
Hebu tulia..hakuna cha maana wala kipya alichoeleza!
 
Akili zenu ziko programmed kama marobot!Hata hujajua alichosema ila unakurupuka tu kuandika!
Mmebakiza akili za kuvukia barabara tu,nyingine mmekabidhi kwa wanaojaza matumbo yenu!
Hao walisha mezeshwa cd ya kusifia kila kitu chenye rangi ya njano na kijani
 
Leo Mhe. Magufuli yuko Bukoba katika kampeni zake za Urais. Mhe. Magufuli kwa maoni yangu hakuna wa kushindana naye. Kweli Mhe. Magufuli amefunika Bukoba. Sote twende na Magufuli tarehe 28 Oktoba, 2020.
JPM anafunika kila mahali,hapa kazi tu.
 
Leo huko Bukoba JPM anaongea madini tupu. Kura za wana kagera zitafulika kwako.

Mungu aendelee kukulinda kiongozi wetu.
Umezoea kukoshwa sana wewe naona sasa umeamua kututangazia
 
Back
Top Bottom