mbona mchuano unaelekea kwa Ruto? ras jeff kapitaKwa kifupi labda nikwambie ww na watu wengine wabishi kama ww. Security Details za Raila Odinga zimeongezeka watu wa usalama tayari wapo nae kumlinda Mr president ambao wanabisha Raila sio next president wapo nyuma sana kwa kukosa taarifa
Kasoro njaa tu ππππKenya kama Marekani tu.
acha uongo, atwol sio mmiliki wa citizen. mmiliki wa citizen tv ni samauel kamau macharia almaarufu SK Macharia kupitia kampuni yake ya royal media.Ww umemjua odinga mwaka huu? Tena kati ya mtu ambae hana pressure ni yeye, kapita vigingi vizito yeye na atwol mmiliki wa citizen walifungwa na daniel arap moi kipindi flani, yee hawezi pata stress na vitu Kama hivyo
Google tu "Kenya General Election 2022" utaona IEBC wakireport matokeo na sasa wako 58% ya kura zote na Ruto bado anaongozaKuzidiwa kwa Odinga umeona kupitia nini?
Atwoli na ule mtumbo wake kama kifusi sijui ana hali gani huko.acha uongo, atwol sio mmiliki wa citizen. mmiliki wa citizen tv ni samauel kamau macharia almaarufu SK Macharia kupitia kampuni yake ya royal media.
ulichoandika wewe ni uongo 100%.
View attachment 2321513
Ngoja nihamie huko arushaHouse gelo unaanzaje kula bata Boss wangu?
Wabongo mko na utaahira mwingi.Good morning our Neighbor's KenyaView attachment 2321510
picha ya lini? nadhani ni wakati akiwa Prime minister enzi hizo!Good morning our Neighbor's KenyaView attachment 2321510
Ndugu una bundle nenda website ya uchaguzi kenya link belowToeni taarifa sahihi msipotoshe
Haya Mambo yanachosha kupost uongo.
Wanasema Raisi kushinda anatakiwa kuwa na kura asilimia 5149.67% kwa 49.67% ngoma nzito hii
Nyie mlioko Timamu mpka muda huu ni masaa 70's yamepita Hamumjui Rais wenu Poleni sana Sisi Unaotuona Matahaahira tushamjua[emoji12][emoji12]Wabongo mko na utaahira mwingi.
Ni kweli. Ila muda siyo mrefu atakuwa na Ulinzi mkubwa zaidi ya Huopicha ya lini? nadhani ni wakati akiwa Prime minister enzi hizo!
Ukiangalia hizo barakoa walizovaa wajeda kwa akili ya kawaida tu utajuwa ni za lini.picha ya lini? nadhani ni wakati akiwa Prime minister enzi hizo!
Pure Photoshoppicha ya lini? nadhani ni wakati akiwa Prime minister enzi hizo!
"Wakalifanyie kazi", ni tafsida ya kuepusha maneno ya kutisha na ukali. Kimbembe ni je waambiwa hayo wanakumbuka mafunzo ya ya matumizi ya tafsida?Rais Samia: Hilo nalo nendeni mkalitizame
Mbona hayo matokeo hayaonekaniNdugu una bundle nenda website ya uchaguzi kenya link below
Independent Electoral and Boundaries Commission
IEBC - Independent Electoral and Boundaries Commissionwww.iebc.or.ke
Achana na porojo za humu ndani