Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mimi sijasema hawakuwa sahihi lakini ndio hivyo tena matokeo yao nayo yamesitishwa kutolewaMkuu kwa mujibu wa Reuters wakiuplod matokeo yatokanayo na Form 34B na sio Form 34A!
View attachment 2322863
Kimuundo ndiyo form ambazo tayari zilishahakikiwa na matokeo yake kukubaliwa.
Reuters walikuwa sahihi kuliko ata vyombo vya Habari vingine ambavyo wao wakichukua matokeo ya Form 34A.
Just to ADD 2017 Mudavadi na Wetangula walikuwa na Raila (NASA)v Uhuru na Ruto now wapo na Ruto v Uhuru na RailaSiasa za Kenya hazina adui wala rafiki wa milele
2002-Kibaki & Raila vs Uhuru & Ruto
2007-Kibaki & Uhuru vs Raila & Ruto
2013-Uhuru & Ruto vs Raila
2022-Uhuru & Raila vs Ruto
Azimio ana 134 UDA 101.Hivi ni nani ana Wabunge na Magavana wengi?
Jamaa mpaka leo🤣🤣
Njemba zina hasira. Hesabu zikikosewa tu mambo mpwito mpwitoWatapasuana hawa aise
Naona kuna kupigana mitama
Sasa
Ova
Hawa jamaa Siasa zao ngumu na hawana adui wa kudumuJust to ADD 2017 Mudavadi na Wetangula walikuwa na Raila (NASA)v Uhuru na Ruto now wapo na Ruto v Uhuru na Raila
Si kigezo ndio Jpo ni indicator piah. Tisa kumi ruto kashashinda Huo ndo ukweli na Muda utaongea tu kama watazingatia matakwa ya wananchi. Hta viongoz wengine wa azimio wanataka viongoz wao wakuu wakubali kushindwa.Azimio japo wanapishana kidogo sana. Uwepo wa wabunge wengi si kigezo cha kushinda kiti cha urais
Si kigezo ndio Jpo ni indicator piah. Tisa kumi ruto kashashinda Huo ndo ukweli na Muda utaongea tu kama watazingatia matakwa ya wananchi. Hta viongoz wengine wa azimio wanataka viongoz wao wakuu wakubali kushindwa.Azimio japo wanapishana kidogo sana. Uwepo wa wabunge wengi si kigezo cha kushinda kiti cha urais
IEBC wamefeli sana kwenye hili zoezi. Sasa hivi wanasema wanataka kutangaza raisi ikiwa wao hawajamaliza kujumuisha matokeo, ndio kwanza wapo 25%. Sasa watatangaza mshindi kwa matokeo ya wapi? Au Yale yaliyokuwa nayarushwa na media? Si waliyapiga stop?Watapasuana hawa aise
Naona kuna kupigana mitama
Sasa
Ova
Mudavadi 2017 aligombea urais mwenyewe na akwa mshindi wa tatu.Acha Kutudanganya bna. Umeanza kufuatilia siasa za Kenya Leo??Just to ADD 2017 Mudavadi na Wetangula walikuwa na Raila (NASA)v Uhuru na Ruto now wapo na Ruto v Uhuru na Raila
Aisee yaan uko KONGWA ila umejua hayo yote?? Watz sijui mna mdudu gani kichwani.Si kigezo ndio Jpo ni indicator piah. Tisa kumi ruto kashashinda Huo ndo ukweli na Muda utaongea tu kama watazingatia matakwa ya wananchi. Hta viongoz wengine wa azimio wanataka viongoz wao wakuu wakubali kushindwa.
Bwana mdogo Soma vizur uelewe, lakn Kama hujui omba kueleweshwa. 2002, moi alikuwa aWe jamaa kama huzijui siasa za Kenya ni bora usome kabla ya kuandika,unajua Mwai Kibaki alivyopata Urais wa Kenya?? unaposema Moi alimwachia sijui unamanisha nini?
Ndugu siasa za Kenya kuanzia 2022 sihitaj kuzisoma ila nimeziishi Sana. Ila ujue 2002, moi akiwa rais alimpendelea uhuru kenyata kurthi Kiti chake Kama rais, mwai kibaki na odinga hawakurizika, wakamsimamisha mwai kibaki na akashinda, Moi hakuwa na hiyana akawwachia nchi Jpo mgombea wake alishindwa vibaya. Hivyo tunamtaka na uhuru wakubali badala ya kuanzisha chokochokoWe jamaa kama huzijui siasa za Kenya ni bora usome kabla ya kuandika,unajua Mwai Kibaki alivyopata Urais wa Kenya?? unaposema Moi alimwachia s
Duuuh ila kweli TISS wako mle ndani sio bureKutoka kwenye vyanzo vya Wakenya, wanasema haya ndiyo matokeo ya Urais Kenya. Wenye macho hebu tusaidiane kusoma majina (pale juu chini ya asilimia).
Unahangaika ukiwa wapi mrembo?? Nije nikupe huyu mdudu anayenisumbua.Aisee yaan uko KONGWA ila umejua hayo yote?? Watz sijui mna mdudu gani kichwani.
Huyo dogo ana matatizo ya akiliUj
Unahangaika ukiwa wapi mrembo?? Nije nikupe huyu mdudu anayenisumbua.
Kama kawaida ya chawa...afadhali Kenya wanapigana, kupigania haki na usawa. Hapa Tanzania hakuna mapigano, wapo wapigaji na wapigwa. Wapigaji wana haki ya kupiga na wapigwa wana haki ya kupigwa na hata kuuawa.Tayari wameshapigana risasi,mbuge kapiga risasi msaidizi wa mbuge mwezake ,amefariki.Msimamizi wa kituo Nairobi,hajulikani alipo.Wengine,maofisa wa kituo,waliacha kituo na vifaa vya kura,wakakimbia.Mwengine katoa form nne kwa mpiga kura mmoja,wengine walikamatwa na gari yenye masanduku yamepigwa kura,machine nyingi za kupigia kira ni mbovu,zimerudishwa kwa tume.Malori mawili ya raia wa Uganda,kuja kupiga kura nk
Vipi Donald Trump, yuko madarakani au bado unasubiri!Ha ha haaaa! Mwalimu wangu wa twuisheni hapa JF unaniangusha ujue.
Unapokuwa na taifa lenye watu wenye kibali cha kuwapiga, kuwatwanga risasi na kuwaumiza wananchi wenzao wenye itikadi tofauti kila wakitaka, hiyo amani unayoongelea ni ipi?Mimi ni Pro-Tanzania. Nadhani hili unalijua. Tanzania Salama inahitaji majirani wenye amani. Huu ndiyo msingi wangu katika kuhakikisha kwa kadri ninavyoweza Tanzania inaendelea kuwa salama na ina amani.
Mbona unaniangusha? Mwaka 2020, CCM kama kawaida yao ilipora madaraka kwa nguvu...hatukuwa na uchaguzi tulikuwa na uchafuzi, au unabisha?CCM ndiyo inaongaza nchi yetu Tanzania chini ya Mwenyekiti wa chama Mama Samia Suluhu Hassan. Watanzania waliimini ilani ya CCM ya mwaka 2020 ndiyo maana walikiweka chama Hiki madarakani.
Ilani si Katiba...Nchi haiendeshwi kwa ilani, inaendeshwa kwa Katiba. CCM ilihakikisha Katiba ya wananchi haipatikani.Kwa hiyo, sisi raia hatuna namna nyingine zaidi ya kutekeleza maelekezo yaliyomi kwenye ilani hiyo kupitia Serikali yetu ya Sasa.