Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Mkuu kwa mujibu wa Reuters wakiuplod matokeo yatokanayo na Form 34B na sio Form 34A!
View attachment 2322863

Kimuundo ndiyo form ambazo tayari zilishahakikiwa na matokeo yake kukubaliwa.

Reuters walikuwa sahihi kuliko ata vyombo vya Habari vingine ambavyo wao wakichukua matokeo ya Form 34A.
Mimi sijasema hawakuwa sahihi lakini ndio hivyo tena matokeo yao nayo yamesitishwa kutolewa

Sasa hivi ya tume pekee ndio yanatewa kwa kasi ndogo sana
 
Siasa za Kenya hazina adui wala rafiki wa milele

2002-Kibaki & Raila vs Uhuru & Ruto

2007-Kibaki & Uhuru vs Raila & Ruto

2013-Uhuru & Ruto vs Raila

2022-Uhuru & Raila vs Ruto
Just to ADD 2017 Mudavadi na Wetangula walikuwa na Raila (NASA)v Uhuru na Ruto now wapo na Ruto v Uhuru na Raila
 
Azimio japo wanapishana kidogo sana. Uwepo wa wabunge wengi si kigezo cha kushinda kiti cha urais
Si kigezo ndio Jpo ni indicator piah. Tisa kumi ruto kashashinda Huo ndo ukweli na Muda utaongea tu kama watazingatia matakwa ya wananchi. Hta viongoz wengine wa azimio wanataka viongoz wao wakuu wakubali kushindwa.
 
Azimio japo wanapishana kidogo sana. Uwepo wa wabunge wengi si kigezo cha kushinda kiti cha urais
Si kigezo ndio Jpo ni indicator piah. Tisa kumi ruto kashashinda Huo ndo ukweli na Muda utaongea tu kama watazingatia matakwa ya wananchi. Hta viongoz wengine wa azimio wanataka viongoz wao wakuu wakubali kushindwa.
 
Watapasuana hawa aise
Naona kuna kupigana mitama
Sasa

Ova
IEBC wamefeli sana kwenye hili zoezi. Sasa hivi wanasema wanataka kutangaza raisi ikiwa wao hawajamaliza kujumuisha matokeo, ndio kwanza wapo 25%. Sasa watatangaza mshindi kwa matokeo ya wapi? Au Yale yaliyokuwa nayarushwa na media? Si waliyapiga stop?

Bora NEC mara mia kuliko hawa ambao hawajui hadi sasa wanasimamia nini. Kama mna mshindi wenu basi fanyeni wazi kuwa mna mshindi wenu kuliko hivi vituko
 
Azimio ana 134 UDA 101.

Sent using Jamii Forums mobile app
1660385682314.png
 
We jamaa kama huzijui siasa za Kenya ni bora usome kabla ya kuandika,unajua Mwai Kibaki alivyopata Urais wa Kenya?? unaposema Moi alimwachia sijui unamanisha nini?
Bwana mdogo Soma vizur uelewe, lakn Kama hujui omba kueleweshwa. 2002, moi alikuwa a
We jamaa kama huzijui siasa za Kenya ni bora usome kabla ya kuandika,unajua Mwai Kibaki alivyopata Urais wa Kenya?? unaposema Moi alimwachia s
Ndugu siasa za Kenya kuanzia 2022 sihitaj kuzisoma ila nimeziishi Sana. Ila ujue 2002, moi akiwa rais alimpendelea uhuru kenyata kurthi Kiti chake Kama rais, mwai kibaki na odinga hawakurizika, wakamsimamisha mwai kibaki na akashinda, Moi hakuwa na hiyana akawwachia nchi Jpo mgombea wake alishindwa vibaya. Hivyo tunamtaka na uhuru wakubali badala ya kuanzisha chokochoko
 
Tayari wameshapigana risasi,mbuge kapiga risasi msaidizi wa mbuge mwezake ,amefariki.Msimamizi wa kituo Nairobi,hajulikani alipo.Wengine,maofisa wa kituo,waliacha kituo na vifaa vya kura,wakakimbia.Mwengine katoa form nne kwa mpiga kura mmoja,wengine walikamatwa na gari yenye masanduku yamepigwa kura,machine nyingi za kupigia kira ni mbovu,zimerudishwa kwa tume.Malori mawili ya raia wa Uganda,kuja kupiga kura nk
Kama kawaida ya chawa...afadhali Kenya wanapigana, kupigania haki na usawa. Hapa Tanzania hakuna mapigano, wapo wapigaji na wapigwa. Wapigaji wana haki ya kupiga na wapigwa wana haki ya kupigwa na hata kuuawa.

Pamoja na hayo huko Kenya aliyeua yuko mikononi mwa polisi na kwa hao wengine unaowataja subiri, penye mwanga hakuna wanga!

Ha ha haaaa! Mwalimu wangu wa twuisheni hapa JF unaniangusha ujue.
Vipi Donald Trump, yuko madarakani au bado unasubiri!
Mimi ni Pro-Tanzania. Nadhani hili unalijua. Tanzania Salama inahitaji majirani wenye amani. Huu ndiyo msingi wangu katika kuhakikisha kwa kadri ninavyoweza Tanzania inaendelea kuwa salama na ina amani.
Unapokuwa na taifa lenye watu wenye kibali cha kuwapiga, kuwatwanga risasi na kuwaumiza wananchi wenzao wenye itikadi tofauti kila wakitaka, hiyo amani unayoongelea ni ipi?
CCM ndiyo inaongaza nchi yetu Tanzania chini ya Mwenyekiti wa chama Mama Samia Suluhu Hassan. Watanzania waliimini ilani ya CCM ya mwaka 2020 ndiyo maana walikiweka chama Hiki madarakani.
Mbona unaniangusha? Mwaka 2020, CCM kama kawaida yao ilipora madaraka kwa nguvu...hatukuwa na uchaguzi tulikuwa na uchafuzi, au unabisha?
Kwa hiyo, sisi raia hatuna namna nyingine zaidi ya kutekeleza maelekezo yaliyomi kwenye ilani hiyo kupitia Serikali yetu ya Sasa.
Ilani si Katiba...Nchi haiendeshwi kwa ilani, inaendeshwa kwa Katiba. CCM ilihakikisha Katiba ya wananchi haipatikani.

Kuzuia mikutano ya kisiasa inawezekana ni sera ya CCM lakini inapingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom