Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

Leta hutuba hiyo kama ni nzuri.. ukiona hata sehemunya hotuba hujaleta ujue mnatekeleza maaigizo ya bashiru kusifia kila kitu.
 
hotuba ya ufunguzi mpaka ya leo ni ile ile....hakuna jipya.
 
Hakika waswahili wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.

Umejenga SGR Barabara ndege Umezunguka miaka 5 kwenye kampeni nchi nzima ... Bado unajitembeza kuomba Kura.

BILA FIESTA TAMASHA LA DIAMOND KIBA MAROLI YA KUBEBA WATU NK HAJI MTU HAPO
Unauhakika au ndo maneno ya mkosaji
 
Hakufai wew
 
ala kumbe fiesta imeingia jijini Mwanza leo eee...!! naskia leo hakuna shule, walimu wote na wanafunzi wao ni kampeni ole wako ukache.
 
Na hapo anaposema watu walikuwa wanazunguka Kenya ndo afike makao makuu ya nchi, Wakati anaingia madarakani hii ishu ya kuzunguka Kenya Ilishatamatishwa na Kikwete- Tunamkumbusha tu
 
Na hapo anaposema watu walikuwa wanazunguka Kenya ndo afike makao makuu ya nchi, Wakati anaingia madarakani hii ishu ya kuzunguka Kenya Ilishatamatishwa na Kikwete- Tunamkumbusha tu

Huko anajua anaongea na viazi, ndio maana hataki midahalo maana anajua nafasi ya kulisha watu uongo haipo.
 
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako.... Magufuli anaitikia na kucheza wimbo anaou tune Tundu Lissu. hakuna namna!

kamtumia "love letter" ya kumpa kakazi kadogo ah wapi.. chuma kikamjibu kawape unaowaokotaga huko majalalani. imebidi awe mpole tu kakutana na kiboko yake "kichaa" mwenzie!
 
Jana Lissu kamtandika sana Magu kule Mtwara.
 
Huko anajua anaongea na viazi, ndio maana hataki midahalo maana anajua nafasi ya kulisha watu uongo haipo.
Angalia hapo ITV wamemquote mzee baba- Ndege yeyote itatua CCm Kirumba Mwanza
 
Utopolo
 
hotuba ya ufunguzi mpaka ya leo ni ile ile....hakuna jipya.

Toka ameingia madarakani mkuu, mpaka ninasema ni bora ajirecord kama vile vispika vidogo vya kuuzia dawa ya mende na simu za kichina. Na kuhusu nyomi hamna shida maana nyomi linafuata fiesta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…