Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Wakati Nyalandu anazunguka nchi nzima kusaka wadhamini Lisu alikuwa Ubelgiji, sasa mnashangaa nini Nyalandu kama ataibuka mshindi?
 
Kwan Ccm rais bara aligombea na nani walihesabu kwakua walijua hakuna atakae sema no wangekua wawili sidhan hayo maigizo ungeyaona Kule dodoma
 
Too Sad Lissu atashindwa kwa wajumbe.Wajumbe wa Chadema kutwa kusifia wajumbe wa CCM kuwatema wageni..Cha kuchangaza wao wanapigia kura wageni. Ndo maana Newton akajisemea for every action,there is an equal and opposite reaction.
Hata wewe ni mjumbe
 
Lissu haaminiki, yule sio Kiongozi ni Mwanaharakati....bila shaka wanaompinga wanazingatia hoja hizo.
Bahati mbaya wanaompinga (kama wewe) sio wanachama wa Chadema hivyo hawamchagui wao.
 
Mbowe hawezi kukubali mgombea urais masikini kama Lisu, Chadema misingi yake ni ubepari kutafuta pesa lazima Nyalandu apitishwe, Nyalandu ni tajiri
Acha uzushi huo ....... probably that is your wish. Mbona Dr. Slaa aligombea 2010 .... au unataka kusema kuwa that time naye alikuwa na pesa kabla ya kuishiwa 2015?
 
Kila la kheri. Mtuletee mgombea anayeuzika.
 
unaijua CHADEMA wewe? muadilifu dr. slaa alitupwa pembeni akateuliwa fisadi lowasa kugombea urais. CHADEMA wanachotaka ni pesa, hayo mambo ya kupendwa na watu sio kipaumbele chao!
Ccm kwani uchaguzi kwenu si tayari mna mgombe?? Mambo ya chadema yanawahusu nini?
 

Molemo nini shida, uzi una masaa zaidi ya 6 na hauna updates zozote! Huutendei haki uzi huu.
 
Ni Yeye Aiseeee!!! Atosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…