Hata iweje lazima Ulaya na Asian watutawale maana imeandikwa hivyo.Kigezo chako ni pesa za kampeni,, vipi Tanzania yetu?
Bara letu litaendelea kuendeshwa na mabara mengine kama tutaendelea na ubinafsi wa aina hii.
Nyalandu au Membe wa Act ni watu ambao watatubakisha kwenye business as usual.
hatutasonga popote,, tutajikuta tunashangilia tena uchumi wa kati kutoka matangazo ya world bank huku hali zetu zikiendelea kuwa duni.
Meneja Kicha ni nini?Wewe ndiwe kicha
Mmemtia kilema halafu mnamdhihaki.Lisu hawezi kuongoza hii nchi. Asije akapigwa magongo na bodi guard kwenye miguu chemba ikampindua bure
Molemo kaingia mitini baada ya Lissu kugalagazwa na Nyarandu.Jamani eeeeeh,hivi ni mimi tu ndio sijaelewa au wote dhumuni la uzi huu ni kutupa updates zote zinazoendelea pale mlimani city sasa mbona hatupati izo updates?
Kwani Lisu hajarudi na Dola?unaijua CHADEMA wewe? muadilifu dr. slaa alitupwa pembeni akateuliwa fisadi lowasa kugombea urais. CHADEMA wanachotaka ni pesa, hayo mambo ya kupendwa na watu sio kipaumbele chao!
Kama vile ilivyotolewa na CCM..itakuwa poa Sana.Basi mngetoa fomu moja tu!
Hahaaaa CCM mko bize kufuatilia ya Chadema, subirini mtapewa jina la rais mtarajiwa.....Halafu Uhuru wa mwananchi kupata habari Ni Hali ya kikatiba wao hao wa me ji lockdown gizani hawataki habari zitoke
Wakati Nyalandu anazunguka nchi nzima kusaka wadhamini Lisu alikuwa Ubelgiji, sasa mnashangaa nini Nyalandu kama ataibuka mshindi?
Lowassa hakuchaguliwa kwa kura hiyo rushwa alimpa nani?Ujio wa Lowasa na kupitishwa kuwa mgombea urais baada ya kukatwa na CCM ni fact kubwa sana.
Lissu haaminiki, yule sio Kiongozi ni Mwanaharakati....bila shaka wanaompinga wanazingatia hoja hizo.
Na akiipata jee? Utakunywa sumu?Nimetoa mawazo yangu tu, ila nitafurahia akiikosa hiyo nafasi.
Twende wpMakamanda Twendeni na Nyalandu
Mwana ccm unapenda mwana ccm mwenzakoMakamanda Twendeni na Nyalandu
Wewe acha izo mambo bhana kwani CHADEMA walikuwa hawana mgombea urais hadi wasubiri lowasa akwate ndio aje kugombea akili zake zikishakuwa za kibavicha huwa unaburuzwa tu sio shauri lako ni wale vijana wa ufipa kina mmawia wamekurukiza upofu.Lowassa hakuchaguliwa kwa kura hiyo rushwa alimpa nani?
Kwa wakati ule hata ningekuwa mm kiongozi wa upinzani ingekuwa ngumu kumkataa lowasa nje ya pesa alikuwa na ushawishi mkubwa sana Yani alikuwa anawafuasi wengi sana kivyvyte vile alikuwa silaha kubwa ndio maana wapinzani walipata viti vingi sana vya majimbo na madiwani kuwai tokeaCHADEMA imeanzishwa kwa ajili ya kutafuta pesa , ndio maana Dr. Slaa kapuku masikini akanyimwa kugombea urais akateuliwa tajiri Lowasa
Ccm misingi yake ni umasikini ndiyo maana mnapenda sana masikini waongezeke ili muendelee kula bure mema ya nchiMbowe hawezi kukubali mgombea urais masikini kama Lisu, Chadema misingi yake ni ubepari kutafuta pesa lazima Nyalandu apitishwe, Nyalandu ni tajiri