TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Jimboni kwake akisimama chama chochote hata CHAUMA hakuna wakumshinda trust me, huyu jamaa ana pesa chafu.Nyarandu atarudi CCM au atamuunga mkono Lissu?
Wajumbe 442 wa Baraza Kuu wapiga kura :
Matokeo: Tundu Lissu 405 , Lazaro Samuel Nyalandu 36 na Dr. Mayrose Kavura Majinge 1.
Acha kumdhihaki lisuShoutout to Lissu, Membe kanyee debe huko
Akagombee ubunge wa ticket ya Chadema huko kwao.Nyarandu atarudi CCM au atamuunga mkono Lissu?
Kunywa sumu ya kuua Panya kisha nenda kitandani upumzikeNyalandu kaibiwa kura, uchaguzi batili huu
Kwa hio hizo pesa zitafanyaje mkuu?Jimboni kwake akisimama chama chochote hata CHAUMA hakuna wakumshinda trust me, huyu jamaa ana pesa chafu.
Naamini atabaki CHADEMA
Wajumbe wa CCM walivyo vote out waunga juhudi umesahau?Wajumbe wa Chadema wamefanya hivyo hivyo.Nyalandu kaibiwa kura, uchaguzi batili huu