Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Yule ambaye CCM hawakumtaka kwa namna yoyote ile, ndiye huyooo kaja. Sasa imebaki hila moja tu kutokana na tamko la Mwenyekiti wa NEC, labda iwe kupitia kuweka mizengwe.

Ili dhahabu ipate kupatikana na kuthibitika, ni lazima ipitie mchakato wa tanuru la moto mkali, ikapate kubainika ubora wake. Huku Lissu kule Magufuli, sasa ni juu uamuzi wa Watanzania kuthibitisha yupi ni "Asset or Liability" kwa Tanzania yetu ya kesho.

Poleni wana JF na waheshimiwa "Great Thinkers" ambao mapenzi yenu hayajatimizwa kupitia maamuzi ya wana CDM katika kumchagua mpeperusha bendera wa nafasi ya uraisi. Naye si mwingine, bali ni yule yule aliyetegemewa, naye ni TUNDU ANTIPAS LISSU.
 

PM anatakiwa awe mbunge wa kuchaguliwa mkuu
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…