Muvi za ufipa huziwezi mkuuMwanzo Nyarandu alishinda sasa kawa wa mshindi wa pili? Au wajumbe walibadilishwa?!
Hivi huyu Jiwe ndio Nani humu???Da kauli zingine
Kabisa kabisa..... NI MWENDO WA KUVUNJA JIWE HAPO OCTOBER 28
Hizo Ni Movie tuuNdugu wanajamvi, hivi wenzangu mlijua kama Lissu angepita kwa kura nyingi namna hii? Sikudhani!
Hii tafsiri yake ni nini hasa katika uchaguzi wa wa tarehe 28/10/2020?
Kwani hata anaivaa Basi?Jiwe akisikia mavi yanagonga chupi
Ile ilikuwa NI kamati kuu ya CHADEMA. Hii ya Leo ni mkutano mkuu wa CHADEMAMwanzo Nyarandu alishinda sasa kawa wa mshindi wa pili? Au wajumbe walibadilishwa?!
Hongera Mhe. Tundu Lissu kwa kuaminiwa na chama ChaloTundu Lissu amepata kura - 405
Lazaro Nyalandu amepata kura - 36
Rosemary Majinge amepata kura - 1
Jumla ya waliorodheshwa 453
Waliopiga kura 442
Hakuna kura ilitoharibika
#NiYeye2020 #TunduLissu2020
Achana na hizi ramli za kukatishana tamaaTechnical foul. CCM 1 - CDM 0. Lissu anakesi, zitafufuliwa pindi akirudisha fomu NEC. NEC haitamtambua na akifanya mzaha anafungwa mpaka uchaguzi upite.
Plan B, Kwakuwa mwenyekiti amesema Wana mazungumzo na ACT ya kuachiana nafasi, kwenye urais CDM wajoin forces na Membe, nyalandu awe mgombea mwenza. Otherwise CDM watapoteza mgombea wa urais saa moja tu asubui.
Sio ramli. Nahuu ndio ukweli mchunguAchana na hizi ramli za kukatishana tamaa
Chadema ishapoteza fursa ya kugombea!Ni yeyeee!