Hapa CHADEMA wanatakiwa kuwa waangalifu sana wasije wakajikuta mwisho wa siku wanaamua kumwunga mkono Membe. Na kwa hira zilivyokaa, wanaweza pia kumpiga panga Membe ili wabaki na wagombea dhaifu kama akina Lipumba, Lutarosa YembaNinasikia Jaji Kaijage anasubiri kulima jina la Lissu kwakua alivuliwa ubunge. Haya yanafanyika kwa maelekezo kutoka juu.
You're very resourceful, what I don't understand is your motives? Do you think money can buy every thing?Slaa alikuwa na pesa za wafadhili ni muandishi mzuri wa miradi kwa wafadhili .UNAONA WAKATI yuko Chadema viongozi wengi wa Chadema walikuwa wakifadhiliwa safari nyingi za kwenda ulaya na marekani na Chadema kilikuwa na marafiki kibao wa nje ambao contact person wao alikuwa Slaa
Nyalandu anao wafadhili wa nje kibao tofauti na Lisu .Lisu hela za ndani hana na za nje hana .Hana wafadhili ni mzigo kwa chama.Slaa alijibeba wakati ule,kabla ya hapo Mbowe aligombea uraisi naye 2005 naye alijibeba kwa pesa zake,Akaja Lowasa 2015 akajibeba kwa pesa zake na safari hii Chadema hawezi weka mtu wa kubebwa wataweka anayejibeba kwa pesa zake.Ambaye hatasumbua chama wala wanachama,Kati ya hao wagombea watatu maskini pekee aliyepo kwenye hiyo list ni Tundu Lisu pekee.Huyo mama mumewe ni tajiri wa kufa mtu.
Nyalandu ubunge tu huendesha kampeni kwa helikopta.
Baraza kuu anashinda mapema asubuhi.Akisimama aweza hata asiongee maneno mengi anasema tu nipeni kura zenu anaenda kukaa kampeni alishamaliza kwa wajumbe alipozunguka nchi nzima kusaka wadhamini hapo wanaenda ku tick tu kuwa tunamtaka Nyalandu
kwenye hizo kura Lisu aweza shika nafasi ya tatu wa kwanza akiwa nyalandu wa pili huyo mama wa tatu akawa Lisu
Nyalandu yuko serious kugombea uraisi alikuwa hashindi facebook,twitter ,youtube na jamii forums kama Lisu alikuwa akienda moja kwa moja kwa wajumbe
Mcheki hapo akikata mbuga kutafuta wadhamini hakuchangiwa na mtu anajibeba mwenyewe hasumbui chama wala wanachama kama ambavyo Tundu LIsu hadi pesa ya fomu alitoa namba watu wachangie!!! Hela ya fomu tu hana ya kampeni atatoa wapi na chama hakina pesa
View attachment 1525564
Tutamchangia Lissu.Slaa alikuwa na pesa za wafadhili ni muandishi mzuri wa miradi kwa wafadhili .UNAONA WAKATI yuko Chadema viongozi wengi wa Chadema walikuwa wakifadhiliwa safari nyingi za kwenda ulaya na marekani na Chadema kilikuwa na marafiki kibao wa nje ambao contact person wao alikuwa Slaa
Nyalandu anao wafadhili wa nje kibao tofauti na Lisu .Lisu hela za ndani hana na za nje hana .Hana wafadhili ni mzigo kwa chama.Slaa alijibeba wakati ule,kabla ya hapo Mbowe aligombea uraisi naye 2005 naye alijibeba kwa pesa zake,Akaja Lowasa 2015 akajibeba kwa pesa zake na safari hii Chadema hawezi weka mtu wa kubebwa wataweka anayejibeba kwa pesa zake.Ambaye hatasumbua chama wala wanachama,Kati ya hao wagombea watatu maskini pekee aliyepo kwenye hiyo list ni Tundu Lisu pekee.Huyo mama mumewe ni tajiri wa kufa mtu.
Nyalandu ubunge tu huendesha kampeni kwa helikopta.
Baraza kuu anashinda mapema asubuhi.Akisimama aweza hata asiongee maneno mengi anasema tu nipeni kura zenu anaenda kukaa kampeni alishamaliza kwa wajumbe alipozunguka nchi nzima kusaka wadhamini hapo wanaenda ku tick tu kuwa tunamtaka Nyalandu
kwenye hizo kura Lisu aweza shika nafasi ya tatu wa kwanza akiwa nyalandu wa pili huyo mama wa tatu akawa Lisu
Nyalandu yuko serious kugombea uraisi alikuwa hashindi facebook,twitter ,youtube na jamii forums kama Lisu alikuwa akienda moja kwa moja kwa wajumbe
Mcheki hapo akikata mbuga kutafuta wadhamini hakuchangiwa na mtu anajibeba mwenyewe hasumbui chama wala wanachama kama ambavyo Tundu LIsu hadi pesa ya fomu alitoa namba watu wachangie!!! Hela ya fomu tu hana ya kampeni atatoa wapi na chama hakina pesa
View attachment 1525564
Je akifanya hivyo atakuwa amekiuka sheria?Ninasikia Jaji Kaijage anasubiri kulima jina la Lissu kwakua alivuliwa ubunge. Haya yanafanyika kwa maelekezo kutoka juu.
Mapovu ya nini tena ?Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
TAKWAMBIA ALIPIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANATuambie miujiza ya lisu itakayotutoa hapa tulipo
Wewe haya nambo ni makubwa sana kwako huwezi kuyajuaMlituaminisha kuwa mbowe kamuuzia chama lowasa. Swali je, lowasa alirudishiwa pesa zake kabla ya kurudi ccm au bado ni mmiliki wa chama? kama ndiye mmiliki wa chama iweje useme kuwa mbowe hawezi mkubali tundu lissu wakati yeye mbowe sio mmiliki wa chama.
Usikute uliyeandika hivi ni kada wa CCM.Waache kumpendelea TL uchaguzi uwe huru na haki kwa wote
[emoji3]wazee wa ukabila mmeanzaSingida line hiyo
Safari hii Singida Inang'aa sana
Wanatuwakirisha vyema
Ni Chadema kindakindakiUsikute uliyeandika hivi ni kada wa CCM.
Hajawahi kuona nguvu ya umma anasakia tu kwenye vyombo vya habariNinasikia Jaji Kaijage anasubiri kulima jina la Lissu kwakua alivuliwa ubunge. Haya yanafanyika kwa maelekezo kutoka juu.
Acha hizo nyalandu ni Dhaifu mnamtaka ili magufuli asihangaike kufanya kampeni atumie TBC kwani anajua nyalandu hana uwezo wa kumsumbua popoteMpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Sheria ni Fani nzuri sana, ninaomba Mungu anisaidie Mwana hi hata mmoja tu awe mwana sheriaJe akifanya hivyo atakuwa amekiuka sheria?
Hilo ndio jibu?Sheria ni Fani nzuri sana, ninaomba Mungu anisaidie Mwana hi hata mmoja tu awe mwana sheria
Maneno mengii ila kiufupi sisi tunamtaka Huyo huyo maskini mwenzetu. Hatumtaki mtu kwa sababu ya pesa zake, dini yake wala rangi yake bali aliyetayari kutetea wananchi, kutenda haki na mwenye ujasiri wa kusimama na kuongoza kwa kufuata katiba yetu. Kwa vigezo hivi, hakuna anayemfikia Lissu kati ya hao watatu hata robo. Kama ni kampeni zinapaswa ziwe chini ya bajeti ya chama na ikibidi wananchi watachangia. Kumbuka hata kipindi cha Lowasa watu walichangia pia. Hapo hachaguliwi mgombea binafsi, bali ni mwakilishi wa chama.Slaa alikuwa na pesa za wafadhili ni muandishi mzuri wa miradi kwa wafadhili .UNAONA WAKATI yuko Chadema viongozi wengi wa Chadema walikuwa wakifadhiliwa safari nyingi za kwenda ulaya na marekani na Chadema kilikuwa na marafiki kibao wa nje ambao contact person wao alikuwa Slaa
Nyalandu anao wafadhili wa nje kibao tofauti na Lisu .Lisu hela za ndani hana na za nje hana .Hana wafadhili ni mzigo kwa chama.Slaa alijibeba wakati ule,kabla ya hapo Mbowe aligombea uraisi naye 2005 naye alijibeba kwa pesa zake,Akaja Lowasa 2015 akajibeba kwa pesa zake na safari hii Chadema hawezi weka mtu wa kubebwa wataweka anayejibeba kwa pesa zake.Ambaye hatasumbua chama wala wanachama,Kati ya hao wagombea watatu maskini pekee aliyepo kwenye hiyo list ni Tundu Lisu pekee.Huyo mama mumewe ni tajiri wa kufa mtu.
Nyalandu ubunge tu huendesha kampeni kwa helikopta.
Baraza kuu anashinda mapema asubuhi.Akisimama aweza hata asiongee maneno mengi anasema tu nipeni kura zenu anaenda kukaa kampeni alishamaliza kwa wajumbe alipozunguka nchi nzima kusaka wadhamini hapo wanaenda ku tick tu kuwa tunamtaka Nyalandu
kwenye hizo kura Lisu aweza shika nafasi ya tatu wa kwanza akiwa nyalandu wa pili huyo mama wa tatu akawa Lisu
Nyalandu yuko serious kugombea uraisi alikuwa hashindi facebook,twitter ,youtube na jamii forums kama Lisu alikuwa akienda moja kwa moja kwa wajumbe
Mcheki hapo akikata mbuga kutafuta wadhamini hakuchangiwa na mtu anajibeba mwenyewe hasumbui chama wala wanachama kama ambavyo Tundu LIsu hadi pesa ya fomu alitoa namba watu wachangie!!! Hela ya fomu tu hana ya kampeni atatoa wapi na chama hakina pesa
View attachment 1525564
Unapata shida kumwelekeza MATAGA.Acha kupotosha kama issue ni hela huyo Dr slaa aligombeaje 2010
Wakifanya hivyo hata robo ya wabunge waliopita hawatapata. Itabidi waungane na ACT kuunda kambi bungeni.Kwa wajumbe kwa jinsi Nyalandu alivyofanya kampeni na kugawa pesa basi kishashinda. Ila kwenye Urais wa JMT CCM watafurahi sana maana watapita nae kama upepo. Nyalandu hawezi hata kumshinda Membe. Magufuli ndo kabisa,huyu Nyalandu arudishe kwanza Twiga wetu.