Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Ninasikia Jaji Kaijage anasubiri kulima jina la Lissu kwakua alivuliwa ubunge. Haya yanafanyika kwa maelekezo kutoka juu.
Hapa CHADEMA wanatakiwa kuwa waangalifu sana wasije wakajikuta mwisho wa siku wanaamua kumwunga mkono Membe. Na kwa hira zilivyokaa, wanaweza pia kumpiga panga Membe ili wabaki na wagombea dhaifu kama akina Lipumba, Lutarosa Yemba
 
Kwa comments za humu nyalandu akichaguliwa sijui itakuwaje
 
Slaa alikuwa na pesa za wafadhili ni muandishi mzuri wa miradi kwa wafadhili .UNAONA WAKATI yuko Chadema viongozi wengi wa Chadema walikuwa wakifadhiliwa safari nyingi za kwenda ulaya na marekani na Chadema kilikuwa na marafiki kibao wa nje ambao contact person wao alikuwa Slaa

Nyalandu anao wafadhili wa nje kibao tofauti na Lisu .Lisu hela za ndani hana na za nje hana .Hana wafadhili ni mzigo kwa chama.Slaa alijibeba wakati ule,kabla ya hapo Mbowe aligombea uraisi naye 2005 naye alijibeba kwa pesa zake,Akaja Lowasa 2015 akajibeba kwa pesa zake na safari hii Chadema hawezi weka mtu wa kubebwa wataweka anayejibeba kwa pesa zake.Ambaye hatasumbua chama wala wanachama,Kati ya hao wagombea watatu maskini pekee aliyepo kwenye hiyo list ni Tundu Lisu pekee.Huyo mama mumewe ni tajiri wa kufa mtu.

Nyalandu ubunge tu huendesha kampeni kwa helikopta.

Baraza kuu anashinda mapema asubuhi.Akisimama aweza hata asiongee maneno mengi anasema tu nipeni kura zenu anaenda kukaa kampeni alishamaliza kwa wajumbe alipozunguka nchi nzima kusaka wadhamini hapo wanaenda ku tick tu kuwa tunamtaka Nyalandu

kwenye hizo kura Lisu aweza shika nafasi ya tatu wa kwanza akiwa nyalandu wa pili huyo mama wa tatu akawa Lisu

Nyalandu yuko serious kugombea uraisi alikuwa hashindi facebook,twitter ,youtube na jamii forums kama Lisu alikuwa akienda moja kwa moja kwa wajumbe

Mcheki hapo akikata mbuga kutafuta wadhamini hakuchangiwa na mtu anajibeba mwenyewe hasumbui chama wala wanachama kama ambavyo Tundu LIsu hadi pesa ya fomu alitoa namba watu wachangie!!! Hela ya fomu tu hana ya kampeni atatoa wapi na chama hakina pesa

View attachment 1525564
You're very resourceful, what I don't understand is your motives? Do you think money can buy every thing?
 
IMG_20200803_090028.jpg
 
Tutamchangia Lissu.
 
Mlituaminisha kuwa mbowe kamuuzia chama lowasa. Swali je, lowasa alirudishiwa pesa zake kabla ya kurudi ccm au bado ni mmiliki wa chama? kama ndiye mmiliki wa chama iweje useme kuwa mbowe hawezi mkubali tundu lissu wakati yeye mbowe sio mmiliki wa chama.
Wewe haya nambo ni makubwa sana kwako huwezi kuyajua
 
Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Acha hizo nyalandu ni Dhaifu mnamtaka ili magufuli asihangaike kufanya kampeni atumie TBC kwani anajua nyalandu hana uwezo wa kumsumbua popote
 
Slaa alikuwa na pesa za wafadhili ni muandishi mzuri wa miradi kwa wafadhili .UNAONA WAKATI yuko Chadema viongozi wengi wa Chadema walikuwa wakifadhiliwa safari nyingi za kwenda ulaya na marekani na Chadema kilikuwa na marafiki kibao wa nje ambao contact person wao alikuwa Slaa

Nyalandu anao wafadhili wa nje kibao tofauti na Lisu .Lisu hela za ndani hana na za nje hana .Hana wafadhili ni mzigo kwa chama.Slaa alijibeba wakati ule,kabla ya hapo Mbowe aligombea uraisi naye 2005 naye alijibeba kwa pesa zake,Akaja Lowasa 2015 akajibeba kwa pesa zake na safari hii Chadema hawezi weka mtu wa kubebwa wataweka anayejibeba kwa pesa zake.Ambaye hatasumbua chama wala wanachama,Kati ya hao wagombea watatu maskini pekee aliyepo kwenye hiyo list ni Tundu Lisu pekee.Huyo mama mumewe ni tajiri wa kufa mtu.

Nyalandu ubunge tu huendesha kampeni kwa helikopta.

Baraza kuu anashinda mapema asubuhi.Akisimama aweza hata asiongee maneno mengi anasema tu nipeni kura zenu anaenda kukaa kampeni alishamaliza kwa wajumbe alipozunguka nchi nzima kusaka wadhamini hapo wanaenda ku tick tu kuwa tunamtaka Nyalandu

kwenye hizo kura Lisu aweza shika nafasi ya tatu wa kwanza akiwa nyalandu wa pili huyo mama wa tatu akawa Lisu

Nyalandu yuko serious kugombea uraisi alikuwa hashindi facebook,twitter ,youtube na jamii forums kama Lisu alikuwa akienda moja kwa moja kwa wajumbe

Mcheki hapo akikata mbuga kutafuta wadhamini hakuchangiwa na mtu anajibeba mwenyewe hasumbui chama wala wanachama kama ambavyo Tundu LIsu hadi pesa ya fomu alitoa namba watu wachangie!!! Hela ya fomu tu hana ya kampeni atatoa wapi na chama hakina pesa

View attachment 1525564
Maneno mengii ila kiufupi sisi tunamtaka Huyo huyo maskini mwenzetu. Hatumtaki mtu kwa sababu ya pesa zake, dini yake wala rangi yake bali aliyetayari kutetea wananchi, kutenda haki na mwenye ujasiri wa kusimama na kuongoza kwa kufuata katiba yetu. Kwa vigezo hivi, hakuna anayemfikia Lissu kati ya hao watatu hata robo. Kama ni kampeni zinapaswa ziwe chini ya bajeti ya chama na ikibidi wananchi watachangia. Kumbuka hata kipindi cha Lowasa watu walichangia pia. Hapo hachaguliwi mgombea binafsi, bali ni mwakilishi wa chama.
 
Kama ni kweki- ashindwe na alegee...kutafsiri sheria ni kazi ya mahakama ... Kaijage rudi benchi uendelee na ujaji ukiruhusiwa
 
Kwa wajumbe kwa jinsi Nyalandu alivyofanya kampeni na kugawa pesa basi kishashinda. Ila kwenye Urais wa JMT CCM watafurahi sana maana watapita nae kama upepo. Nyalandu hawezi hata kumshinda Membe. Magufuli ndo kabisa,huyu Nyalandu arudishe kwanza Twiga wetu.
Wakifanya hivyo hata robo ya wabunge waliopita hawatapata. Itabidi waungane na ACT kuunda kambi bungeni.
 
Back
Top Bottom