Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Kinachomwangusha ni hali ya kiuchumi ya wanannchi. Watu wana hali ngumu sana, ukija kumwachia Lissu ,Zitto ,Membe waigawane tz kumwaga sumu ,babako anaweza kuambulia 20%
 
Ninavyomwonea huruma Lissu ni kuwa akishapoteza urais, kama kawaida ya Magufuli kutakuwa na amri kuwa kampeini zimekwishana hivyo shuguli zote za kikampeini ni marufuku. Sasa kwa vile Lissu huwa hafungi mdomo wake, anaweza kujikuta anavunja hiyo marufuku mara kwa mara na hivyo kusumbuliwa sana na vyombo vya dola katika miaka mitano ijayo wakati mwili wake hauhitaji kusumbuliwa tena. Kuna makosa ya kimkakati aliyafanya wakiwa Ulaya, na yanaweza kuwa mzigo sana kwake baada ya uchaguzi akishashindwa.

Nadhani sheria ya Uchaguzi inataka wagombea wote wapewe ulinzi na serikali, kwa hiyo wakati wa kampeini anaweza asipate msukosuko ila baada ya uchaguzi, naona kuna hali tishio sana, ingawa inaweza kuwa siyo ya risasi kabisa.

Kuna mtaalamu mmoja wa mambo ya kikachero, anaitwa Evarist Chahali, aliwahi kuchambua na kusema kuwa Lissu hakupigwa risasi zile na watu wa serikali bali walikuwa watu wa upande upinzani kuonyesha kuwa kuwa serikali ni dhalimu. Kachero huyo aliweka sababu kadhaa kuonyesha kwa nini serikali isingehusika kufanya hivyo hadharani kwa vile ina tools nyingi sana za kumnyamazisha kimya kimya bila kumuua. Nadhani tools hizo alizosema ndizo zitaanza kufanya kazi baada ya uchaguzi.
 
Ikoje inapokuwa inachapishwa fomu moja tu ya mgombea uraisi?
 
Ngeleja Mwakyembe ni wasomi na hata Mwakyembe ana degree nne lakini wamegalagazwa huko kwao sembuse huyo Dada?
 
Naona hujapata like hata moja mpaka Mimi nakukwot that means hata wewe ni jinga tu.
 
Kama mnampenda mchukueni kwa milioni 300 kama kina mtulia.
 
FBI CIA Scotland Yard wachunguzi wa mahakama ya uhalifu dhidi ya ubinadamu The Hague taasisi za haki za binadamu wapo Tanzania wamejipanza kimya wanasoma upepo wote mpaka wajue uonevu uovu wote wa CCM ndipo waje na maamuzi ya uhakika.
 
johnthebaptist Hilo pandikizi lenu lipeni kura nyingi za ndio uvccm, baraza za Wazazi, Nec, BWT etc


Najiuliza je kwenye hiyo kamati hakukuwa na wanawake wenzie wa kumwamini ? najiuliza je alipitia mlango uleule wa Mashinji na bahati mbaya akaukuta umefungwa?

Katumiwa kuonyesha kuwa kina mama wananafasi ndani ya Chadema ila hawajajipanga?

Huko UWT alitoka tokaje mpaka akaingia Chadema au footprint zake zikoje?
 


Tunaandika humu kama Masihara hivi , lakini huu ndio ukweli unaotarajiwa kutokea nchini Tanzania .

Huyu Salum Mwalimu huyu aliyenusurika kuuawa kwenye sakata la uchaguzi wa Kinondoni , ambapo risasi iliyomlenga ikapeperuka na kumuua Akwilina anaenda kuwa Makamu wa Rais , hii ni baada ya Tundu Lissu kushinda Uchaguzi mkuu mwaka huu wa 2020.

Usicheze na Mungu ndugu yangu , utaumia kama itakavyoumia ccm , kwa mara ya kwanza nimeshuhudia Mungu akijibu maombi kwa haraka sana ! mara nyingi hujibu maombi lakini kwa taratibu sana , kwanini haya amejibu haraka ?
 

Mkuu, hayakuwa mashindano ya Academic Excellencies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…