Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Na leo hii Tajiri na Kapuku wote mnao...mnawalea! [emoji2]
Wanayapenda matapishi balaa. Walitarajia kuwa pandikizi lao litapita, akala za uso kama Mwambe na Zero (Sumaye). Sasaaa, basiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC asubuhi ya leo, Mgombea mteule wa urais, nguli wa sheria na mbobezi wa lugha ya kimataifa Tundu Lissu amesema nchi hii kwa miaka mitano wananchi wameendeshwa kama gari bovu kwa kunyimwa mambo yafuatayo:

Mosi,Uhuru wa vyombo vya habari umeminywa ,Hakuna mtu anayeweza kudadisi au kuhoji

Pili,Uchumi wa watu umeporomoka ,watu hawana kitu mifukoni,Wao wanajisifu tumejenga madaraja wakati watu wanahitaji uchumi mifukoni na sio uchumi wa vitu

Tatu ,Viongozi hawajali utu na heshima kwa Raia wanatumia maneno ya kejeli kwa waliowateua
Hawafuati katiba na sheria za nchi,wao ndio wafalme ,amesema hilo haliwezekani

Ametahadharisha kuwa uchaguzi huu utakuwa wa kipekee ,hoja kwa hoja ,Wanaoshindwa kujibu hoja wasitegemee mbeleko ya Tume ya uchaguzi wao hawatakubali

Amesisituza mambo mengi wananchi wa kawaida wameumizwa
Wafanyakazi na wafanyabiashara wameumizwa ,Wakulima nao wanalia

Aidha ametabiri washindwa kwa kujibu hoja wanaweza anza kuanzisha fujo kwani mambo ya kuongea safari hii ni mengi sana na hawana uwezo wa kuyajibu bali watapanic
 
Katika kitu Chadema mumechemka ni kumpa Lofa lisu ugombea na kumwacha Nyalandu.Haya sasa Lofa Lisu huyo ndio mgombea wenu, haya malofa wenzie mchangieni sasa pesa hana na chama hakina pesa na wewe mwenyewe pesa huna !!! Hiyo kampeni mtaiendeshaje bila pesa malofa nyie?
Sasa kwanini mnahangaika hivo kama mtetea. Kama amechaguliwa lofa na rahisi si ndio mngesherehekea? Tuone kampeni hii kama mtu atapiga push up.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasaaa, basiiiiii......
 
Magufuli atashinda, ila Lisu ataunogesha uchaguzi. Raha ya uchaguzi ni kuwe na wapinzani wawili wa kweli
Amini maneno yangu, Magufuli hashindi uchaguzi wa mwaka huu. Iwe kwa kuiba au kwa halali. Ya Malawi yanaenda kutokea Tanzania kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Tundu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri wa muungano Tanzania hapo October mwaka huu.
 
Dr Mayrose Manjige ndio msomi mbobezi pekee kati ya wale watia nia 11 wa urais kupitia Chadema.

Ajabu na kweli mwanamama huyu msomi wa kiwango cha PhD ameambulia kura moja tu tena yawezekana ni ya kwake mwenyewe aliyojipigia.

Swali: Inakuwaje mtu aliyeruka vihunzi kwa kupigiwa kura hadi akaingia tatu bora aje apate kura moja kwenye fainali?!
Tafakari.

Maendeleo hayana vyama!
Swali la Chekechea, there is no wonder with that results! Having a PhD does not mean that you know everything! It is in your specific area of expertise. Actually, when you go up and up at the top of a ladder of knowledge, it turns out that you know much and much about less and less!
 
Twende na Kamanda Lissu,hongera sana kwa ushindi wa kishindo.

Napenda pia kuchukua nafasi kutoa Pongezi za dhati kwa makamanda wote waliokataa kuunga mkono juhudi fake.

Najua makamanda wote walioendelea kubaki kundini wamepita katika masahibu makubwa,vishawishi vya kutosha lakini wamevuka viunzi vyote sasa pia ni wakati wa kuwatambua na kuwaenzi wale wote waliovumilia hadi mwisho.

Hongera makamanda wote.
 
CCM ina pesa bilions twaweza weka yeyote na pesa sio tatizo
Tatizo liko chadema chama hakina pesa mgombea pesa hana mtawezaje kampeni? hAYA LOFA HUYO MUMEMPITISHA mchangieni pesa sasa hela hana na wewe pesa huna unachonga tu mdomo humu! imekula kwenu na mgombea wenu lofa.Mngempa Nyalandu pesa isingekuwa issue wafadhili wake wa nje wangempa pesa yeye kama yeye

Chadema mumefanya kosa la kiufundi kuchagua lofa kuwa mgombea uraisi wakati mnajua fika chama pesa hakina
Waambie warudie uchaguzi basi wampitishe Nyalandu wako. Hivi umekerwa na nini hivo? Mambo yasiyokuhusu yanakuumizaje hivo. Mbona za faini zilipatikana ili kutunisha mfuko wenu wa pesa za kununulia watu. Ndizi walizokula akina Silinde na Lijuhalikali. Na wamekatwa kila mahali. Mtalia sana mwaka huu. Omba tu uzima uone mambo.
 
Haya ni makombora ya awali tu kumushitua adui kuwa tuna zana za kutosha kumkabili na hatimae kumshinda.
 
Mpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu.
Pesa hazipigi kura,TL,anafahamika na kila Mtanzania,Umaarufu wake upo juu,kuriko huyu Nyarandu,mwizi wa rasilimali zetu
 
Tarehe 28 mtu anapandishwa kizimbani kesi inaonekana mshtakiwa ana kosa la kujibu anahukumiwa miezi kadhaa jela dhamana inapigwa dana dana kwa mda mchache ili mtu kwenye urais ainekane hafai maana tayari katiba inasema mgombea urais asiwe na kosa aú doa lolote ambalo alishafikishwa/kushtakiwa mahamakani hapo tayari doa kwake hafai.hivi mnaijua serikali nyie?
Katiba ya ccm ndio inasema hivo?
 
Hizo media zote zimepewa maelekezo, nani yupo tayari kuhatarisha biashara yake?
Kwa uroporopo wa CHADEMA hayo maelekezo yangevuja . Barua zote hadharani lakini hata fununu hazikutokea kulikoni?
 
Back
Top Bottom