Getang'wan
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 3,076
- 3,416
Wanayapenda matapishi balaa. Walitarajia kuwa pandikizi lao litapita, akala za uso kama Mwambe na Zero (Sumaye). Sasaaa, basiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na leo hii Tajiri na Kapuku wote mnao...mnawalea! [emoji2]
Kumbe ndio maana 2015 CCM mlichagua bilionea Magu?Chadema mumeweka mgombea lofa mtashindwa uchaguzi mapema asubuhi
Mbona unaumia sana?Chadema mumeweka mgombea lofa mtashindwa uchaguzi mapema asubuhi
Sasa kwanini mnahangaika hivo kama mtetea. Kama amechaguliwa lofa na rahisi si ndio mngesherehekea? Tuone kampeni hii kama mtu atapiga push up.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasaaa, basiiiiii......Katika kitu Chadema mumechemka ni kumpa Lofa lisu ugombea na kumwacha Nyalandu.Haya sasa Lofa Lisu huyo ndio mgombea wenu, haya malofa wenzie mchangieni sasa pesa hana na chama hakina pesa na wewe mwenyewe pesa huna !!! Hiyo kampeni mtaiendeshaje bila pesa malofa nyie?
Amini maneno yangu, Magufuli hashindi uchaguzi wa mwaka huu. Iwe kwa kuiba au kwa halali. Ya Malawi yanaenda kutokea Tanzania kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Tundu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri wa muungano Tanzania hapo October mwaka huu.Magufuli atashinda, ila Lisu ataunogesha uchaguzi. Raha ya uchaguzi ni kuwe na wapinzani wawili wa kweli
Swali la Chekechea, there is no wonder with that results! Having a PhD does not mean that you know everything! It is in your specific area of expertise. Actually, when you go up and up at the top of a ladder of knowledge, it turns out that you know much and much about less and less!Dr Mayrose Manjige ndio msomi mbobezi pekee kati ya wale watia nia 11 wa urais kupitia Chadema.
Ajabu na kweli mwanamama huyu msomi wa kiwango cha PhD ameambulia kura moja tu tena yawezekana ni ya kwake mwenyewe aliyojipigia.
Swali: Inakuwaje mtu aliyeruka vihunzi kwa kupigiwa kura hadi akaingia tatu bora aje apate kura moja kwenye fainali?!
Tafakari.
Maendeleo hayana vyama!
Waambie warudie uchaguzi basi wampitishe Nyalandu wako. Hivi umekerwa na nini hivo? Mambo yasiyokuhusu yanakuumizaje hivo. Mbona za faini zilipatikana ili kutunisha mfuko wenu wa pesa za kununulia watu. Ndizi walizokula akina Silinde na Lijuhalikali. Na wamekatwa kila mahali. Mtalia sana mwaka huu. Omba tu uzima uone mambo.CCM ina pesa bilions twaweza weka yeyote na pesa sio tatizo
Tatizo liko chadema chama hakina pesa mgombea pesa hana mtawezaje kampeni? hAYA LOFA HUYO MUMEMPITISHA mchangieni pesa sasa hela hana na wewe pesa huna unachonga tu mdomo humu! imekula kwenu na mgombea wenu lofa.Mngempa Nyalandu pesa isingekuwa issue wafadhili wake wa nje wangempa pesa yeye kama yeye
Chadema mumefanya kosa la kiufundi kuchagua lofa kuwa mgombea uraisi wakati mnajua fika chama pesa hakina
Hizo media zote zimepewa maelekezo, nani yupo tayari kuhatarisha biashara yake?Mbona kikao hakikuwa huru na uwazi ?
No video streaming?
Hoja tunazo kidogo ,Tutajibu hivyo hivyo ,mtaji wetu ni mbumbumbuAaaaaaaaaaaaaaaaaahseeh
Wanasiasa mnamambo ninyi duuuuh!
Pesa hazipigi kura,TL,anafahamika na kila Mtanzania,Umaarufu wake upo juu,kuriko huyu Nyarandu,mwizi wa rasilimali zetuMpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu.
Ok sawaHuo uvumi kauongelea leo, tafta crip uangalie, sio kuvumisha ujinga huo
Katiba ya ccm ndio inasema hivo?Tarehe 28 mtu anapandishwa kizimbani kesi inaonekana mshtakiwa ana kosa la kujibu anahukumiwa miezi kadhaa jela dhamana inapigwa dana dana kwa mda mchache ili mtu kwenye urais ainekane hafai maana tayari katiba inasema mgombea urais asiwe na kosa aú doa lolote ambalo alishafikishwa/kushtakiwa mahamakani hapo tayari doa kwake hafai.hivi mnaijua serikali nyie?
Kwa uroporopo wa CHADEMA hayo maelekezo yangevuja . Barua zote hadharani lakini hata fununu hazikutokea kulikoni?Hizo media zote zimepewa maelekezo, nani yupo tayari kuhatarisha biashara yake?
Haisemi hivyo ila ni mawazo yangu tuu nimejaribu kuwaza tuu watafanya mbinu hiyo ili kumdhibiti makusudiKatiba ya ccm ndio inasema hivo?