Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Amini maneno yangu, Magufuli hashindi uchaguzi wa mwaka huu. Iwe kwa kuiba au kwa halali. Ya Malawi yanaenda kutokea Tanzania kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Tundu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri wa muungano Tanzania hapo October mwaka huu.
Kati ya watu watakao kuja kuvaa suluali kichwani wakati wa matokeo kutangazwa ni wewe,!

Tupo hapa oktoba siyo mbali.
 
Sio kweli, hayupo bungeni na nchini zaidi ya miaka mitatu na bado yuko juu. Slaa hakuwa mbunge 2010-2015, lakini alikuwa onfire. Bungeni lenyewe la yeye kuibana serikali ndio hilo bunge kibogoyo?

Mkuu hivi Slaa alifanyua kitu gani kile kipindi hayupo Bungeni? Mind you kipindi kile ilikuwa wapo huru kufanya siasa hata baada ya uchaguzi, mjomba Magu unamjua vizuri, uchaguzi ukiisha tu atazuia tena mikutano ya kisiasa utasikia mpaka 2025, Lissu atapata wapi platform ya kuongelea madudu ya CCM zaidi ya kusumbuliwa na Polisi tu na mahakama kila kukicha?

Sijui tu but binafsi nita-appreciate zaidi akirudi kulichukua jimbo lake la Iramba Mashariki ambalo ushindi kwake upo waazi kabisa
 
Mama Suluhu ana lipi la ajabu? Hana anachojua zaidi ya kufunga shungi tu. Ukweli mchungu nje ya cheo mama Suluhu ana umaalumu wowote?
Umemuuliza vyema, japo umekosea kuhalalisha matusi yako kwa mama samia kwa suala la kipuuzi la huyo bwana, Laiti angekutana na jpm 1992 asingekubali kwamba siku moja atakuwa Rais wake. Mwambie aache dharau na wewe Acha upumbavu lofa mkubwa
 
Mama Suluhu ana lipi la ajabu? Hana anachojua zaidi ya kufunga shungi tu. Ukweli mchungu nje ya cheo mama Suluhu ana umaalumu wowote?
Umemuuliza vyema, japo umekosea kuhalalisha matusi yako kwa mama samia kwa suala la kipuuzi la huyo bwana, Laiti angekutana na jpm 1992 asingekubali kwamba siku moja atakuwa Rais wake. Mwambie aache dharau na wewe Acha upumbavu lofa mkubwa
Umejuaje kw
Sio kweli kwamba iramba mashariki lisu atashinda tena, piga ramli yako vyema bwana ilolansimba
 
Fear of unknown
 
Kinatarajiwa kupata ushindi mkubwa
 
"Mwaka huu hatumuachii MUNGU" TLisu
Na kuna kila dalili kuwa Mungu ametuchoka, anatupa uwezo wa kujipambania lakini sisi tunajikunyata tuu na kutoa mazawadi ya jogoo!
 
Sikupata kudhani kuwa wewe waweza kuwa LOFA to that extent!
Kwanza unaijua sheria ya gharama za uchaguzi?

Pili ukidhani Chadema ni masikini kwa kiwango hicho unacho dhani basi unajidanganya sana, Chadema ina watu na ndio maana hata huyo mgombea wake mliyemtwanga risasi na kugoma kumtibia wanachadema walimtibu.

Mlipowafunga viongozi wake na kuwapa mafaini ya kuvunja rekodi hapa nchini ghafla waliwalipia. Na kwa aibu Mzee wa "Jogoo" naye akachota za hazina eti akamtoe "anayelazimisha" undugu akakataa na kumwambia Polepole ndugu zangu Chadema washanilipia nenda kamwambie apeleke huko SGR.
 
Wanayapenda matapishi balaa. Walitarajia kuwa pandikizi lao litapita, akala za uso kama Mwambe na Zero (Sumaye). Sasaaa, basiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Nyalandu sio pandikizi. Isipokuwa sio mgombea sahihi kwa sasa. Watawala wa kiimla na wababe wanatakiwa kukutana na watu kama Lissu ambaye amesema ukiiba kura hakuna cha kusema 'tunamuachia Mungu'
 
Nyalandu yupo safi sana kwenye kujieleza. Jamaa ni presidential material, ila watu wa mihemko watampa TL. Sioni tofauti ya TL na Magufuli, wote ni watu wa kukurupuka kwenye maamuzi na maneno, sio viongozi na hawajalelewa kiuongozi.
peleka upotolo wako huo lumumba
 
Nmecheka sana[emoji2][emoji2][emoji2] watu wana Mawe bwana
 
Ni uhakika na taasisi kama tatu hivi ambako piga ua kiwete hawezi kuajiriwa au kuongoza, Urais, Upadri na Jeshi!
Kwahiyo mlimlemaza ili asigombee? Mtapanua na atapanda......mmeshaliwa. Na safari hii uchi wenu unaanikwa hadharani. Mnadhani mtaendelea kubebwa na vyombo vya dola? Subiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…