Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kama zilivyokuwa za Lowasacomment nyingi humu si za wana chadema . hapa nimestuka , nyakati hizi ni za lisu ,over!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama zilivyokuwa za Lowasacomment nyingi humu si za wana chadema . hapa nimestuka , nyakati hizi ni za lisu ,over!!!!
Kati ya watu watakao kuja kuvaa suluali kichwani wakati wa matokeo kutangazwa ni wewe,!Amini maneno yangu, Magufuli hashindi uchaguzi wa mwaka huu. Iwe kwa kuiba au kwa halali. Ya Malawi yanaenda kutokea Tanzania kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Tundu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri wa muungano Tanzania hapo October mwaka huu.
Sio kweli, hayupo bungeni na nchini zaidi ya miaka mitatu na bado yuko juu. Slaa hakuwa mbunge 2010-2015, lakini alikuwa onfire. Bungeni lenyewe la yeye kuibana serikali ndio hilo bunge kibogoyo?
Umemuuliza vyema, japo umekosea kuhalalisha matusi yako kwa mama samia kwa suala la kipuuzi la huyo bwana, Laiti angekutana na jpm 1992 asingekubali kwamba siku moja atakuwa Rais wake. Mwambie aache dharau na wewe Acha upumbavu lofa mkubwaMama Suluhu ana lipi la ajabu? Hana anachojua zaidi ya kufunga shungi tu. Ukweli mchungu nje ya cheo mama Suluhu ana umaalumu wowote?
Umemuuliza vyema, japo umekosea kuhalalisha matusi yako kwa mama samia kwa suala la kipuuzi la huyo bwana, Laiti angekutana na jpm 1992 asingekubali kwamba siku moja atakuwa Rais wake. Mwambie aache dharau na wewe Acha upumbavu lofa mkubwaMama Suluhu ana lipi la ajabu? Hana anachojua zaidi ya kufunga shungi tu. Ukweli mchungu nje ya cheo mama Suluhu ana umaalumu wowote?
Umejuaje kwMkuu hivi Slaa alifanyua kitu gani kile kipindi hayupo Bungeni? Mind you kipindi kile ilikuwa wapo huru kufanya siasa hata baada ya uchaguzi, mjomba Magu unamjua vizuri, uchaguzi ukiisha tu atazuia tena mikutano ya kisiasa utasikia mpaka 2025, Lissu atapata wapi platform ya kuongelea madudu ya CCM zaidi ya kusumbuliwa na Polisi tu na mahakama kila kukicha?
Sijui tu but binafsi nita-appreciate zaidi akirudi kulichukua jimbo lake la Iramba Mashariki ambalo ushindi kwake upo waazi kabisa
Sio kweli kwamba iramba mashariki lisu atashinda tena, piga ramli yako vyema bwana ilolansimbaMkuu hivi Slaa alifanyua kitu gani kile kipindi hayupo Bungeni? Mind you kipindi kile ilikuwa wapo huru kufanya siasa hata baada ya uchaguzi, mjomba Magu unamjua vizuri, uchaguzi ukiisha tu atazuia tena mikutano ya kisiasa utasikia mpaka 2025, Lissu atapata wapi platform ya kuongelea madudu ya CCM zaidi ya kusumbuliwa na Polisi tu na mahakama kila kukicha?
Sijui tu but binafsi nita-appreciate zaidi akirudi kulichukua jimbo lake la Iramba Mashariki ambalo ushindi kwake upo waazi kabisa
Fear of unknownMkuu hivi Slaa alifanyua kitu gani kile kipindi hayupo Bungeni? Mind you kipindi kile ilikuwa wapo huru kufanya siasa hata baada ya uchaguzi, mjomba Magu unamjua vizuri, uchaguzi ukiisha tu atazuia tena mikutano ya kisiasa utasikia mpaka 2025, Lissu atapata wapi platform ya kuongelea madudu ya CCM zaidi ya kusumbuliwa na Polisi tu na mahakama kila kukicha?
Sijui tu but binafsi nita-appreciate zaidi akirudi kulichukua jimbo lake la Iramba Mashariki ambalo ushindi kwake upo waazi kabisa
Kinatarajiwa kupata ushindi mkubwaKwa hiyo safari hii Chadema hawahitaji utafiti wa ubora wa mgombea kama walioufanya 2015 ili kumpata Mzee Lowassa!? Au wamefanya!? Kama wamefanya, wanatarajia kupata kura ngapi za urais, na idadi ya wabunge na madiwani!? Au muda bado, chochote chaweza kutokea!?
Labda kaskazini, japo nako wachaga wameishaikana katikistaKinatarajiwa kupata ushindi mkubwa
Tatizo la kununua bando la mia mbilimbili ni lako haliwahasu wengine!Mbona kikao hakikuwa huru na uwazi ?
No video streaming?
Na kuna kila dalili kuwa Mungu ametuchoka, anatupa uwezo wa kujipambania lakini sisi tunajikunyata tuu na kutoa mazawadi ya jogoo!"Mwaka huu hatumuachii MUNGU" TLisu
Sikupata kudhani kuwa wewe waweza kuwa LOFA to that extent!CCM ina pesa bilions twaweza weka yeyote na pesa sio tatizo
Tatizo liko chadema chama hakina pesa mgombea pesa hana mtawezaje kampeni? hAYA LOFA HUYO MUMEMPITISHA mchangieni pesa sasa hela hana na wewe pesa huna unachonga tu mdomo humu! imekula kwenu na mgombea wenu lofa.Mngempa Nyalandu pesa isingekuwa issue wafadhili wake wa nje wangempa pesa yeye kama yeye
Chadema mumefanya kosa la kiufundi kuchagua lofa kuwa mgombea uraisi wakati mnajua fika chama pesa hakina
Mkuu Nyalandu sio pandikizi. Isipokuwa sio mgombea sahihi kwa sasa. Watawala wa kiimla na wababe wanatakiwa kukutana na watu kama Lissu ambaye amesema ukiiba kura hakuna cha kusema 'tunamuachia Mungu'Wanayapenda matapishi balaa. Walitarajia kuwa pandikizi lao litapita, akala za uso kama Mwambe na Zero (Sumaye). Sasaaa, basiiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
peleka upotolo wako huo lumumbaNyalandu yupo safi sana kwenye kujieleza. Jamaa ni presidential material, ila watu wa mihemko watampa TL. Sioni tofauti ya TL na Magufuli, wote ni watu wa kukurupuka kwenye maamuzi na maneno, sio viongozi na hawajalelewa kiuongozi.
Imenukuliwa kwa matumizi ya baadaye.Kinatarajiwa kupata ushindi mkubwa
Replace fear of unknown with curiosity.Fear of unknown
Hii ni hujuma dhidi ya Chadema mitandaoni! Wakuangalie kwa jicho tofauti.ka....ye
Nmecheka sana[emoji2][emoji2][emoji2] watu wana Mawe bwanaSlaa alikuwa na pesa za wafadhili ni muandishi mzuri wa miradi kwa wafadhili .UNAONA WAKATI yuko Chadema viongozi wengi wa Chadema walikuwa wakifadhiliwa safari nyingi za kwenda ulaya na marekani na Chadema kilikuwa na marafiki kibao wa nje ambao contact person wao alikuwa Slaa...
Kwahiyo lile suala lenu la tume huru limeisha?Kinatarajiwa kupata ushindi mkubwa
Kwahiyo mlimlemaza ili asigombee? Mtapanua na atapanda......mmeshaliwa. Na safari hii uchi wenu unaanikwa hadharani. Mnadhani mtaendelea kubebwa na vyombo vya dola? SubiriNi uhakika na taasisi kama tatu hivi ambako piga ua kiwete hawezi kuajiriwa au kuongoza, Urais, Upadri na Jeshi!
Wapo kwenye kilengeo.....Hivi kipindi hiki mbona polisy wameufyata hivi sioni wakitembeza virungu hapo mliman city kama kawaida yao