Kama wale Jamaa walio print form moja tuWaache kumpendelea TL uchaguzi uwe huru na haki kwa wote
Kupita bila kupingwa ni kugombea peke yako bila watu wengine kugombea.Kwani wengine hawawezi kupata sifuri.
Iendeshwe mara ngapi ? mnadhani Watanzania wote wajingaChadema haiendeshwi kwa rushwa kama ccm
Leo hujapigwa fresh Dudu na Mumeo, sio kwa Ashk Majnun hiziMbowe hawezi kukubali mgombea urais masikini kama Lisu, Chadema misingi yake ni ubepari kutafuta pesa lazima Nyalandu apitishwe, Nyalandu ni tajiri
Ningependa achaguliwe halafu JPM amgalagaze aache mihemko yakeUnaumia Lissu akipendelewa? Uliumia alipokuwa kwenye coma state?
Kwani sheria inasemaje? Usimsingizie judge 👨⚖️ tuNinasikia Jaji Kaijage anasubiri kulima jina la Lissu kwakua alivuliwa ubunge. Haya yanafanyika kwa maelekezo kutoka juu.
Tuliza kinabo. Hakuna upendeleo wowoteWaache kumpendelea TL uchaguzi uwe huru na haki kwa wote
Kwa hiyo huko ccm watu wanashinda kutokana na rushwa wanazotoa , kweli chama chenu kimeozaMpaka hapo Nyalandu kashinda, Lisu hana uwezo wa kupambana na Nyalandu, Nyalandu ana pesa za kampeni wakati Lisu kapuku hana kitu
Hizi pesa alikwiba wakati yupo CCM na wezi wenzake kwenye mfumo na kwenda kujilimbikizia nje ya nchi.Slaa alikuwa na pesa za wafadhili ni muandishi mzuri wa miradi kwa wafadhili .UNAONA WAKATI yuko Chadema viongozi wengi wa Chadema walikuwa wakifadhiliwa safari nyingi za kwenda ulaya na marekani na Chadema kilikuwa na marafiki kibao wa nje ambao contact person wao alikuwa Slaa
Nyalandu anao wafadhili wa nje kibao tofauti na Lisu .Lisu hela za ndani hana na za nje hana .Hana wafadhili ni mzigo kwa chama.Slaa alijibeba wakati ule,kabla ya hapo Mbowe aligombea uraisi naye 2005 naye alijibeba kwa pesa zake,Akaja Lowasa 2015 akajibeba kwa pesa zake na safari hii Chadema hawezi weka mtu wa kubebwa wataweka anayejibeba kwa pesa zake.Ambaye hatasumbua chama wala wanachama,Kati ya hao wagombea watatu maskini pekee aliyepo kwenye hiyo list ni Tundu Lisu pekee.Huyo mama mumewe ni tajiri wa kufa mtu.
Nyalandu ubunge tu huendesha kampeni kwa helikopta.
Baraza kuu anashinda mapema asubuhi.Akisimama aweza hata asiongee maneno mengi anasema tu nipeni kura zenu anaenda kukaa kampeni alishamaliza kwa wajumbe alipozunguka nchi nzima kusaka wadhamini hapo wanaenda ku tick tu kuwa tunamtaka Nyalandu
kwenye hizo kura Lisu aweza shika nafasi ya tatu wa kwanza akiwa nyalandu wa pili huyo mama wa tatu akawa Lisu
Nyalandu yuko serious kugombea uraisi alikuwa hashindi facebook,twitter ,youtube na jamii forums kama Lisu alikuwa akienda moja kwa moja kwa wajumbe
Mcheki hapo akikata mbuga kutafuta wadhamini hakuchangiwa na mtu anajibeba mwenyewe hasumbui chama wala wanachama kama ambavyo Tundu LIsu hadi pesa ya fomu alitoa namba watu wachangie!!! Hela ya fomu tu hana ya kampeni atatoa wapi na chama hakina pesa
View attachment 1525564
Hata kama anaijua sasa au alikuwa anaijua- hiyo sio kazi yake kwa sasa... mahakama inaweza kuwa na maamuzi mengine...Halafu Mahakama ikishatafsiri, yeye anafanyafanyaje sasa baada ya kuwa ameijua tafsiri hiyo?? Na kwa sababu yeye naye pia ni mwanasheria, assuming tafsiri hiyo alikuwa anaijua tayari,... anafanyafanyaje tena sasa kutokea hapo kwenye ujuzi wake wa tafsriri husika na kuendelea mbele?
HuhKupita bila kupingwa ni kugombea peke yako bila watu wengine kugombea.
Hivyo hoja yako haina mashiko
Leta facts kuthibitisha uwepo wa rushwa ndani ya CHADEMA kwenye uchaguzi.Iendeshwe mara ngapi ? mnadhani Watanzania wote wajinga
mkuu umempa za uso asante sana yuko chali damu zinamtoka puani teh,teh,teh,teh..........Uwe huru kama ule wa mgombea mmoja wa ccm siyo?
Duh...wanaojua umuhimu Slaa pale chadema huwezi kuwa wewe!Dr slaa ni mwizi hana uadilifu wowote ule alinunuliwa kwa dola million 2 akaikimbia chadema na ukumbuke alipora mke wa mtu , dr mihogo kashenzi sana kale kazee, CCM wote wanamtaka nyalandu ili wamgalagaze wanajua ni dhaifu sana
Yaani nashangaa hapa Kuna pimbi zinasema Nyalandu..hapana. .tunamtaka Lisu kiboko ya MaguShida ya viongozi wa Chadema si kwenda Ulaya na Marekani, shida yao ni kuwatumikia wananchi.
Jibu ni TAL kama hutaki kunywa sumu.
Umeona eh...maccm yanamtaka Nyalandu hapana hatuko tayariDr slaa ni mwizi hana uadilifu wowote ule alinunuliwa kwa dola million 2 akaikimbia chadema na ukumbuke alipora mke wa mtu , dr mihogo kashenzi sana kale kazee, CCM wote wanamtaka nyalandu ili wamgalagaze wanajua ni dhaifu sana
Jamanii sasa kwanini mlimwambia arudi Tz kama mlikua hamumuhitaji?Slaa alikuwa na pesa za wafadhili ni muandishi mzuri wa miradi kwa wafadhili .UNAONA WAKATI yuko Chadema viongozi wengi wa Chadema walikuwa wakifadhiliwa safari nyingi za kwenda ulaya na marekani na Chadema kilikuwa na marafiki kibao wa nje ambao contact person wao alikuwa Slaa