Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Hata kama anaijua sasa au alikuwa anaijua- hiyo sio kazi yake kwa sasa... mahakama inaweza kuwa na maamuzi mengine...
Maamuzi mengine yapi hayo ambayo hayaendani na tafsiri? Au yale yanayoendana tu na tafsiri ya mtu aliye na mamlaka ya kutafsiri? Kuna haja gani sasa ya kuwa na tafsiri? Au tafsiri huwa inafanyika kulingana na mtu anavyojisikia,provided ana mamlaka kishreia ya kufanya hivyo, na si katika namna ya utaratibu au kanuni fulani ambazo ni standard? Kama mimi ni mtumishi na ninatakiwa ku-act kulingana na tafsiri fulani ya kisheria na ambayo tayari ninaijua, ina maana inabidi mpaka nitafute tena wa kunitafsiria? Wanaotafsiri, wanatafsiri kwa lengo gani? Wanatafsiri ili wajulikane kuwa wao ni watafsiri, au wanatafsiri ili vyombo vingine tofauti na wao, viweze kuzifanyia kazi tafsiri hizo? Au pengine labda "tafsiri" ni terminology iliyokaa kisheria sana ambayo maana yake halisi mimi kama layman, siijui?. Nini maana ya tafsiri? Kwa nini kuna haja ywa kuwa na Kaijage NEC na si tuseme kwa nfano, Brigadeer General John Gaguti? ( assuming huyu mtu siyo mwanasheria)
 
Duh...wanaojua umuhimu Slaa pale chadema huwezi kuwa wewe!

Hata Mbowe mwenyewe akiona hii coment yako atasikitika sana kuwa na mfuasi mjinga kiasi hiki
Slaa Alikuwa mzigo chadema kuliko hata Lowasa. We babu kama yule anaoa mke wa mtu. Aibu sana. Nashangaa hata waliomfanyia vetting na kukubali awe balozi
 
Leta facts kuthibitisha uwepo wa rushwa ndani ya CHADEMA kwenye uchaguzi.

Huko ccm rushwa ni mfumo rasmi wa uchaguzi.
Ujio wa Lowasa na kupitishwa kuwa mgombea urais baada ya kukatwa na CCM ni fact kubwa sana.
 
Lazaro Nyalandu ameshinda kura za maoni na kumbwaga mpinzani wake Tundu Lissu.
 

Attachments

  • 111.JPG
    111.JPG
    41.4 KB · Views: 1
  • 222.JPG
    222.JPG
    39.8 KB · Views: 1
Ninasikia Jaji Kaijage anasubiri kulima jina la Lissu kwakua alivuliwa ubunge. Haya yanafanyika kwa maelekezo kutoka juu.
Kama ndio hivyo Nyalandu hana impact mbele ya Magufuli. Atashindwa vibaya sana,na kurejea CCM baada ya uchaguzi
 
Wana JF, kichwa cha somo kinajieleza. Ili kuondoa maning'o ning'o kura zihesabiwe pale mbele kwa uwazi kama mchakato wa CCM. Nawakilisha
Kwani ccm walihesabu hadharani kura zao wakimshindanisha nani na nani?
 
Umeona eh...maccm yanamtaka Nyalandu hapana hatuko tayari
Sijui utasemaje ila Nyarandu ndio mgombea wenu. Baadhi ya wajumbe niliongea nao wanataja sababu zifuatazo dhidi ya Lissu.
1. Misimamo yake ni mikali hivyo matajiri Kama akina Mbowe wanahofu hawataweza kumdhibiti.
2. Hana hela Wala wafadhiri hivyo itabidi chama kitumie fedha zake kumnadi.
3. Anaweza kukosa sifa kutokana na fitna za kisheria

Pambano ni Magufuli vs Nyarandu. Nyarandu anapigwa sekunde ya pili.


Nyarandu oyeeeeeeee.
 
Mazali kuna watu watatu pale wanashindana lazima zitaesabiwa toofauti na yule mungu mtu aliye toa fomu moja tuu na kujichagua mwenyewe
 
Kukubalika na mataifa makubwa muhimu .Sasa kama ni kutumikia watanzania Lisu alikuwa akienda kubweka nje ya Tanzania ulaya na marekani mambo ya Tanzania kwani ulaya na marekani ni watanzania?

Wewe jiandae kunywa sumu shock utakayopata leo baada ya mgombea kupitishwa

Tundu LISU atashika nafasi ya Tatu .Sababu kwenye hilo kundi wagombea wote matajiri kasoro Lisu ,Nyalandu na yule mama wana pesa

Kura zikipigwa nyalandu ataongoza akifuatiwa na yule mama sababu kuna movement ya akina mama kali mno ndani ya CHadema ya kutaka akina mama washike nafasi ndio maana akina wengi wamewabwaga wanaume kura za maoni za ubunge na leo akina mama wengi chadema kura zao watazielekeza kwa mwanamke mwenzao

Hivyo mnyukano mkubwa upo kwa mwenye pesa nyalandu na mwanamke mwenye kundi la akina mama wa chadema nyuma

Tundu Kwenye huo mnyukano yuko out of the equation hivyo ataambulia kura chache sana.Uwezekano mkubwa atashika nafasi ya tatu
Jana tu Kamati kuu uilipoamua majina yote matatu yaende baraza kuu Tundu Lissu alikuwa mnyonge sana.

Hakuamini kilichotokea.Alidhani kama ilivyotokea kwa Lowassa atateuliwa na kamati kuu kuwa mgombea pekee!!!! Alikuwa shocked!! Kamati kuu ikasema tunaachia demokrasia ifanye kazi.Majina yote yaende baraza kuu kupigiwa kura
Huyo mama kama ana jina la kichaga!

Sent from my BLL-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom