Kukubalika na mataifa makubwa muhimu .Sasa kama ni kutumikia watanzania Lisu alikuwa akienda kubweka nje ya Tanzania ulaya na marekani mambo ya Tanzania kwani ulaya na marekani ni watanzania?
Wewe jiandae kunywa sumu shock utakayopata leo baada ya mgombea kupitishwa
Tundu LISU atashika nafasi ya Tatu .Sababu kwenye hilo kundi wagombea wote matajiri kasoro Lisu ,Nyalandu na yule mama wana pesa
Kura zikipigwa nyalandu ataongoza akifuatiwa na yule mama sababu kuna movement ya akina mama kali mno ndani ya CHadema ya kutaka akina mama washike nafasi ndio maana akina wengi wamewabwaga wanaume kura za maoni za ubunge na leo akina mama wengi chadema kura zao watazielekeza kwa mwanamke mwenzao
Hivyo mnyukano mkubwa upo kwa mwenye pesa nyalandu na mwanamke mwenye kundi la akina mama wa chadema nyuma
Tundu Kwenye huo mnyukano yuko out of the equation hivyo ataambulia kura chache sana.Uwezekano mkubwa atashika nafasi ya tatu
Jana tu Kamati kuu uilipoamua majina yote matatu yaende baraza kuu Tundu Lissu alikuwa mnyonge sana.
Hakuamini kilichotokea.Alidhani kama ilivyotokea kwa Lowassa atateuliwa na kamati kuu kuwa mgombea pekee!!!! Alikuwa shocked!! Kamati kuu ikasema tunaachia demokrasia ifanye kazi.Majina yote yaende baraza kuu kupigiwa kura