Tundu lisu akikosa hiyo nafasi wajue chadema inagawanyika vipande vipandeMwamba wavushe salama wananchi, ukikosea kidogo tu leo, CDM inakufa rasmi.
HATA SIJUI KAKACCM ndiyo wanamtaka nyalandu CCM ndiyo wanahaha nyalandu apenye wanajua nyalandu ni dhaifu hawezi kumshinda hata membe wa ACT
KWANINI BROTHERTundu lisu akikosa hiyo nafasi wajue chadema inagawanyika vipande vipande
Na tusiwasikie kwenye uchaguzi wakisema wameibiwaWAO KWA WAO MZEE BABA
Lisu hawezi kuongoza hii nchi. Asije akapigwa magongo na bodi guard kwenye miguu chemba ikampindua bureHabari kutoka chanzo cha kuaminika zimethibitisha kuwa LAZARO NYALANDU anaongoza katika kura za maoni.
Mmoja kati ya wanaomuunga mkono NYALANDU amesikika akisema kuwa:-
"Mzee NYALANDU anaongoza lakini Baadhi ya viongozi wa juu wa chama chetu wanahaha kupora kura zake ili tu asiwe mshindi, kinachoonekana hapa wanamtaka LISSU ndo awe mshindi wao lakini Leo ndio tutaudhihirishia umma wa Watanzania na Dunia kuwa sisi ni chama cha Demokrasia au la! Hatuwezi kukubali"
Mbona watu ambao ni Pro-CCM ndo wameamua leo kushinda nyuma ya key board kumtangaza Nyalandu? Kura zenyewe hata hazijapigwa, sasa huo ushindi umetoka wapi? CHADEMA msipounganisha akili zenu vizuri ndo mtachanganywa sasa hivi na hawa CCM. Wakae kwa kutulia.Kama ni kweli basi state machinery itakuwa imefanya kazi behind the scene kununua wajumbe kwa donge nono
Mbona tunaongozwa na waliojiita vichaa na mawe na bado tunasonga tu? Hujafa hujaumbika.Lisu hawezi kuongoza hii nchi. Asije akapigwa magongo na bodi guard kwenye miguu chemba ikampindua bure
Naendelea kuwaombea Chadema wamalize mkutano wao wakiwa wamoja kama CCM na siyo vipande vipande!Habari kutoka chanzo cha kuaminika zimethibitisha kuwa LAZARO NYALANDU anaongoza katika kura za maoni.
Mmoja kati ya wanaomuunga mkono NYALANDU amesikika akisema kuwa:-
"Mzee NYALANDU anaongoza lakini Baadhi ya viongozi wa juu wa chama chetu wanahaha kupora kura zake ili tu asiwe mshindi, kinachoonekana hapa wanamtaka LISSU ndo awe mshindi wao lakini Leo ndio tutaudhihirishia umma wa Watanzania na Dunia kuwa sisi ni chama cha Demokrasia au la! Hatuwezi kukubali"
Mkapa aliongonza Nchi akiwa anaumwa mguu hata mwai kibaki alifanya kampeni akiwa kwenye magongoLisu hawezi kuongoza hii nchi. Asije akapigwa magongo na bodi guard kwenye miguu chemba ikampindua bure
Lisu hawezi kuongoza hii nchi. Asije akapigwa magongo na bodi guard kwenye miguu chemba ikampindua bure
Basi mngetoa fomu moja tu!Tundu lisu akikosa hiyo nafasi wajue chadema inagawanyika vipande vipande
Mwenyekiti wenu anasisitiza yeye ni Rais wa wanyonge, vp walemavu sio sehemu ya wanyonge mkuu?Lisu hawezi kuongoza hii nchi. Asije akapigwa magongo na bodi guard kwenye miguu chemba ikampindua bure
CCM wanahaha tayari Le mutuz kachukua pesa kwa ajili ya kwenda kutoa Rushwa lakini anaweza kula zote pasipo kufanya kazi kama walivyokula pesa za Bashite kule Kigamboni wakamdanganya atashindaMbona watu ambao ni Pro-CCM ndo wameamua leo kushinda nyuma ya key board kumtangaza Nyalandu? Kura zenyewe hata hazijapigwa, sasa huo ushindi umetoka wapi? CHADEMA msipounganisha akili zenu vizuri ndo mtachanganywa sasa hivi na hawa CCM. Wakae kwa kutulia.