Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

Wajumbe wanafaham kiu ya watz lkn kwa maslahi yao binafsi watakiua chama,kutopitishwa kwa lisu ni anguko LA cdm sasa na baada ya uchaguzi,mark my word
 
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zimethibitisha kuwa LAZARO NYALANDU anaongoza katika kura za maoni.

Mmoja kati ya wanaomuunga mkono NYALANDU amesikika akisema kuwa:-

"Mzee NYALANDU anaongoza lakini Baadhi ya viongozi wa juu wa chama chetu wanahaha kupora kura zake ili tu asiwe mshindi, kinachoonekana hapa wanamtaka LISSU ndo awe mshindi wao lakini Leo ndio tutaudhihirishia umma wa Watanzania na Dunia kuwa sisi ni chama cha Demokrasia au la! Hatuwezi kukubali"
Lisu hawezi kuongoza hii nchi. Asije akapigwa magongo na bodi guard kwenye miguu chemba ikampindua bure
 
Kama ni kweli basi state machinery itakuwa imefanya kazi behind the scene kununua wajumbe kwa donge nono
Mbona watu ambao ni Pro-CCM ndo wameamua leo kushinda nyuma ya key board kumtangaza Nyalandu? Kura zenyewe hata hazijapigwa, sasa huo ushindi umetoka wapi? CHADEMA msipounganisha akili zenu vizuri ndo mtachanganywa sasa hivi na hawa CCM. Wakae kwa kutulia.
 
Lengo la CCM ni kuidhoofisha chadema ndiyo maana wamewekeza kwa nyalandu ili apite chadema isambaratike
 
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zimethibitisha kuwa LAZARO NYALANDU anaongoza katika kura za maoni.

Mmoja kati ya wanaomuunga mkono NYALANDU amesikika akisema kuwa:-

"Mzee NYALANDU anaongoza lakini Baadhi ya viongozi wa juu wa chama chetu wanahaha kupora kura zake ili tu asiwe mshindi, kinachoonekana hapa wanamtaka LISSU ndo awe mshindi wao lakini Leo ndio tutaudhihirishia umma wa Watanzania na Dunia kuwa sisi ni chama cha Demokrasia au la! Hatuwezi kukubali"
Naendelea kuwaombea Chadema wamalize mkutano wao wakiwa wamoja kama CCM na siyo vipande vipande!
 
Too Sad Lissu atashindwa kwa wajumbe.Wajumbe wa Chadema kutwa kusifia wajumbe wa CCM kuwatema wageni..Cha kuchangaza wao wanapigia kura wageni. Ndo maana Newton akajisemea for every action,there is an equal and opposite reaction.
 
Hii Haitatokea LISSU Tu ndiye atawatoa Jasho Masisiem.. N a Mwaka Huu Mtapata Presure... Lissu Inasemekana Kwenye Mambo yake Hajawahi Kushindwa. Daah Chichiem Inaondoka Hivyo,.....
 
Propaganda kwenye mioyo ya wafia nchi.

Tunaaminishwa 2 (mbili) kuwa Z (zed) wakati tunajitambua.

Gari ya maji taka siku ikibeba maji safi kuyatumia yakubidi uwe na mtindio wa ubongo.

Tuendelee kusubiri.
 
Mbona watu ambao ni Pro-CCM ndo wameamua leo kushinda nyuma ya key board kumtangaza Nyalandu? Kura zenyewe hata hazijapigwa, sasa huo ushindi umetoka wapi? CHADEMA msipounganisha akili zenu vizuri ndo mtachanganywa sasa hivi na hawa CCM. Wakae kwa kutulia.
CCM wanahaha tayari Le mutuz kachukua pesa kwa ajili ya kwenda kutoa Rushwa lakini anaweza kula zote pasipo kufanya kazi kama walivyokula pesa za Bashite kule Kigamboni wakamdanganya atashinda
 
Back
Top Bottom