Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

CCM wanahaha tayari Le mutuz kachukua pesa kwa ajili ya kwenda kutoa Rushwa lakini anaweza kula zote pasipo kufanya kazi kama walivyokula pesa za Bashite kule Kigamboni wakamdanganya atashinda
Basi waendelea kugombana nyuma ya keyboards
 
Write your reply...ccm kazi mnayo leo maana nyie ndio mmegeuka kuwa maripota wa chadema leo ,,,,kweli chadema imekua na inasifa za kupewa dola
 
Mimi nitahama Chadema immediately.
 

Kama wanataka CDM kiendelee kuwa chama cha siasa wampe TL, bila hivyo wajue watageuka CUF.
 
Mimi nitahama Chadema immediately
Uchaguzi ni kesho naomba uvumilie kidogo ingawa CCM wanahaha kumfanyia kampeni nyalandu CCM B apite wakose ushindani warejee ikulu bila kutumia nguvu kubwa.
 
Chadema wakimpitisha lazaro wajue ndo mwisho aliowatabiria mzee wasira umefika rasmi.
 
Haya mambo ni kawaida sana kutokea sema tu Makonda alishikiwa sana bango kule kigamboni.

Hapa Chadema ni lazima tukubali demokrasia ya wengi wape, hongera Tundu Lisu hukuwepo nchini lakini umetoa ushindani uliotukuka kwa bilionea Nyalandu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…