Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chama hichohichoHao wezi ni wa kura ni wa chama hicho hicho?
Kweli liwe wazi, pia na NEC nayo iige OctoberWana JF, kichwa cha somo kinajieleza. Ili kuondoa maning'o ning'o kura zihesabiwe pale mbele kwa uwazi kama mchakato wa CCM. Nawakilisha
duuhhh kwanini Nyalandu Si mwanachama wa CHADEMAAkichaguliwa Nyalandu sipigi kura mwaka huu.
DAAAHHH USISEME HIVYO BROOKwahiyo unadhihaki magongo, unakebehi walemavu... hujafa hujaumbika.
Ni mwanachama mwenye msimamo dhaifu dhidi ya serikali ilioko madarakani.duuhhh kwanini Nyalandu Si mwanachama wa CHADEMA
Basi waendelea kugombana nyuma ya keyboardsCCM wanahaha tayari Le mutuz kachukua pesa kwa ajili ya kwenda kutoa Rushwa lakini anaweza kula zote pasipo kufanya kazi kama walivyokula pesa za Bashite kule Kigamboni wakamdanganya atashinda
Mimi hata JF sitachangia tena mada za siasa milele na milele.Akichaguliwa Nyalandu sipigi kura mwaka huu.
DAAAHHH USISEME HIVYO BROO
Nyalandu akipita ujue CCM itatumia gharama kidogo kwenye kampeni kwani magufuli hatakazimika kupita kila wilaya kupiga kampeni.KWANINI BROTHER
Habari kutoka chanzo cha kuaminika zimethibitisha kuwa LAZARO NYALANDU anaongoza katika kura za maoni.
Mmoja kati ya wanaomuunga mkono NYALANDU amesikika akisema kuwa:-
"Mzee NYALANDU anaongoza lakini Baadhi ya viongozi wa juu wa chama chetu wanahaha kupora kura zake ili tu asiwe mshindi, kinachoonekana hapa wanamtaka LISSU ndo awe mshindi wao lakini Leo ndio tutaudhihirishia umma wa Watanzania na Dunia kuwa sisi ni chama cha Demokrasia au la! Hatuwezi kukubali"
Uchaguzi ni kesho naomba uvumilie kidogo ingawa CCM wanahaha kumfanyia kampeni nyalandu CCM B apite wakose ushindani warejee ikulu bila kutumia nguvu kubwa.Mimi nitahama Chadema immediately
Vigezo vya CCM wanaupenda udhaifu wa nyalanduHuenda kuna vigezo vimezingatiwa.
Bahati nzuri sidhani kama wajumbe wa Chadema wanaweza kufanya uamuzi wa kijinga namna hio.Mimi hata JF sitachangia tena mada za siasa milele na milele.