Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ni mbinu chafu itakayoonesha udhaifu wa watakaoutumia na genge lao. Ni kama mtu kutoka nje ya ulingo na kumpiga kiti kichwani aliyeko ndani ya ulingo aanguke halafu uliyekuwa unapigana utangazwe mshindi.Haisemi hivyo ila ni mawazo yangu tuu nimejaribu kuwaza tuu watafanya mbinu hiyo ili kumdhibiti makusudi
Yaa ni kweli kabisa kuna mbinu ovu inasukwa ili kumkomoa tatizo watu hawaoni mbali ndio maana tarehe imesogezwa mbele mwishoni mwa mwezi wakati huo ile mbilike mbilike ndio itakuwa inaanza na wao hapo ndio watatumia hiyo fursaItakuwa ni mbinu chafu itakayoonesha udhaifu wa watakaoutumia na genge lao. Ni kama mtu kutoka nje ya ulingo na kumpiga kiti kichwani aliyeko ndani ya ulingo aanguke halafu uliyekuwa unapigana utangazwe mshindi.
Waruhusu mtanange wa wazi hata watazamaji wafurahi. Huoni hata hizi mechi baada ya Corona hazinogi bila watazamaji?[emoji3][emoji3]
Ahaaa tutatumia SHIKWAMBIHaya ni makombora ya awali tu kumushitua adui kuwa tuna zana za kutosha kumkabili na hatimae kumshinda.
Kwenu? Poleni sanayaelekea kuna asili ya uendawazimu kwenu
Dhambi ya Ubaguzi haijawahi kumwacha salama anayeitenda.Haujafa haujaumbika,usijione umesimama...Ni uhakika na taasisi kama tatu hivi ambako piga ua kiwete hawezi kuajiriwa au kuongoza, Urais, Upadri na Jeshi!