Yametimia, Mahakama Kuu yaamuru Paul Makonda ashtakiwe

Yooote hiyo, kisa alitaka kukomesha biashara ya madawa ya kulevya, duu
 
Inasikitisha wanakosoa hii habari ni wafuasi wa chama fulani. Yaani wanatuaminisha kwamba ukiwa kwenye hicho chama basi kufanya maovu na kuvunja sheria ni halali kabisa na kutetewa kwa uovu huo ni haki yako.
 
Kama ni gazeti ina maana lipo kwa muuza magazeti ulikuwa na uwezo wa kupiga picha ukatuwekea hapa tushabihishe habari yako.

Maana nowdays umekuwa unapika majungu sana na kuwatakia wengine mabaya as ile tabia yetu ya ovyo ya kiafrika.
 
Aburuzwe mahakamani ili iwe fundisho kwa vijana wanaopata madaraka makubwa ya uongozi wayatumie vizuri na kuacha kuongoza kizandiki na ulimbukeni kufurahisha wanaowateua,
 
Mbona headline ya gazeti ipo tofauti na ulivyoandika, gazeti limeandikwa ashitakiwe,wewe umeandika akamatwe.
 
Wengine tuliliona hili tangu liteuliwe lile lyehu kwenye wizara,

Hakuna jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…