Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

Zitto anamaanisha hayo yote yalisuburi mwendazake afe?
Yalisubiri hadi afe kivipi?!

Baada ya kukamilika ujenzi wa Bomba la Mtwara, ikaanza kujengwa Kinyerezi I Power Plant.

Alipoingia JPM, alikuta serikali iliyotangulia imesaini Mkataba wa Kinyerezi II, kwahiyo ukaanza kujengwa March 2016.

Je, baada ya kujengwa Kinyerezi II, Mradi wa Kinyerezi III umeanza lini?!

Back in 2020 or 2019, kuna Praise Team Member mmoja hapa JF, nilibishana nae sana suala la umeme, na kumtaka anitajie ni vyanzo gani vipya vya umeme vimeanzishwa awamu ya JPM na hivi sasa vinafanya kazi!!

Baada ya kujibu, kama kawaida akaanza matusi na kutoa hoja zile zile za kipumbavu kwamba eti nina chuki na JPM!
 
Nadhani hatimae watu ndo wataelewa...

It's just last week nimehoji mara kadhaa hapa, kama sio 57% ya umeme unaotokana na gesi, nchi ingekuwa katika hali gani wakati umeme wa maji ni ONLY around 36%?!

Kiukame kidogo tu, tushaanza kutafutana...

Huku Misukule ikikazana kwamba, kwavile kuna Bwawa la Nyerere linajengwa basi ku-explore vyanzo vingine vya umeme ni kutaka kumhujumu JPM ili ionekane Mradi wa Bwawa la Nyerere haufai!!

Tuna taifa lenye viumbe wa ajabu sana...
Una hoja zenye mashiko sana, shida unazitoa kwa mtindo wa kuwajibu watu flani hence hoja yako nzuri inaonekana ni kijembe

Tengeneza hoja then iache isimame peke yake.
 
Una hoja zenye mashiko sana, shida unazitoa kwa mtindo wa kuwajibu watu flani hence hoja yako nzuri inaonekana ni kijembe

Tengeneza hoja then iache isimame peke yake.
Nope!!

Kama unaamini naandika eti kwa kuwalenga watu, basi ningekushauri andika thread yoyote kwa mfano:-

1. Umuhimu wa Utunzaji wa Vyanzo Vya Maji...

Kwenye thread hiyo usimtaje yeyote wala kutaja mradi wowote hata kwa kuashiria lakini eleza ukweli ni namna gani kama taifa tunahitaji kuhifadhi vyanzo vya maji!!

Baada ya hapo, subiri kama hujaambiwa umetumwa na mafisadi kutaka kuhujumu mradi huu na ule...

Sasa wapumbavu kama hao utaacha vipi kuwaweka kwenye reference ya maandiko mengine?!

Au andika mada kuhusu:-

2. Uchimbaji wa Gesi Utaleta Manufaa Makubwa kwa Taifa...

Hapo usiposhambuliwa kwamba una ajenga ya kuhujumu Legacy ya JPM, wallah nitajipiga mwenyewe ban hapa JF!!
 
Mimi saizi nimechoka naenda kule kwenye Kula tunda kimasihara ya CCM ni stress tu.
Nisubiri twende wote [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] habari Z kisiasa huwa zinachosha akili mno. Yanini kujipa stress maisha yenyewe mafupi
 
Zitto ni ajenti wa wanaompinga JPM ndio maana kila jambo yeye anatafuta mwanya wa kumlaumu JPM. Eti hakukuwa na jitihada ya kuongeza uzalishaji wa umeme kwani Mradi wa JNHP Rufiji ni nini hicho kinachofanyika? Mpango wa JPM ule mradi ungeanza kujazwa maji lini?

Hata kama mtu anakodiwa kumchafua JPM awe na aibu. JPM sio saizi yako Zitto. Wewe ganga njaa na umamluki wako. Mkataba wa juzi wa India mbona umekaa kimya wakati mabilioni yatalipwa kifisadi.
 
Luna cjui ofisi za bonde maji kila kanda.majukumu yao huwa niyapi kama hawajui maji kupungua au kujaa.
Hawana urafiki na Tanesco kiutendaji
 
Duuh...Kilichobaki ni kukodisha mitambo tu, inafanya kazi saa moja tunalipia billion moja... Waacheni wazupige ndo kipindi chao hiki jiwe aliwabana sana hawa ndo mana walikuwa wakimtukana
 
hahahaha Nyakato 36MW, HOF on fire now.... haya wenye malori mjiandae tenda hiyo kubeba HOF, naiona IPTL ikiwa on fire nayo HOF kama kawa mameli na malori kazini sasa...mzinguko wa hela unaongezeka sasa..
 
Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao

View attachment 2015253
Waingize majenereta yao tununue. R.I. P Mwamba JPM
 
Back
Top Bottom