Yalisubiri hadi afe kivipi?!Zitto anamaanisha hayo yote yalisuburi mwendazake afe?
Baada ya kukamilika ujenzi wa Bomba la Mtwara, ikaanza kujengwa Kinyerezi I Power Plant.
Alipoingia JPM, alikuta serikali iliyotangulia imesaini Mkataba wa Kinyerezi II, kwahiyo ukaanza kujengwa March 2016.
Je, baada ya kujengwa Kinyerezi II, Mradi wa Kinyerezi III umeanza lini?!
Back in 2020 or 2019, kuna Praise Team Member mmoja hapa JF, nilibishana nae sana suala la umeme, na kumtaka anitajie ni vyanzo gani vipya vya umeme vimeanzishwa awamu ya JPM na hivi sasa vinafanya kazi!!
Baada ya kujibu, kama kawaida akaanza matusi na kutoa hoja zile zile za kipumbavu kwamba eti nina chuki na JPM!