DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
NI halali kwa mujibu wa sheria za kiislamuKwa hiyo kumbe ni halali kuwatandika viboko hao walaji huko Zanzibar?
Na kama ni halali inathibitisha kuwa uislamu haupaswi kupewa nguvu kwa sababu utaathiri uhuru wa Watu Wengine wasiowaislam
SHAME ON YOUUmeshikwa na mihemko tuh na islamophobia,Kwanza huyo anaepigwa hapo kaambiwa kabisa kuwa hapo SI bara,hajatajwa mkristo hapo, besides wapo waislam wengi vile vile ambao hawafungi na wanakula mchana mwezi wa Ramadhan,wewe una uhakika Gani kuwa huyo anaepigwa hapo ni mkristo?Kitu KILICHOPO hapo ni uzanzibar na ubara na sio uislam,Kwa sababu kama waislam hata bara tupo na tunaishi na makafiri Kwa kuvumiliana hata wakila mbele yetu,na funga ni ibada ya mja na mola wake,funga Wala haiharibiki Kwa mfungaji kutamani chakula au maji,so hicho kilichofanyika has got nothing to do with Islam.
Teh teh teh,uislam hauna nguvu katika muktadha upi?Nimetaja ukristo kwa sababu wote mpo kwenye mfungo. Na sio kwamba aliyepigwa ni mkristo.
Hiyo hoja ya ubara na Uzanzibari inakufa kwa sababu matukio yote ya kihalifu na kibaguzi hutokea nyakati za Mfungo wa Ramadhani. Na hii sio mara ya kwanza wala ya pili.
Swali lakΓ΄ la huku Bara nimeshakujibu kuwa huku uislamu hauna nguvu na mnajua Hilo
Pia sijawahi kusikia Waislamu wote wana mtazamo mmoja wa udini.Uliwahi siku huku Bara wakristo au wapagani au Watu wa dini zingine wameleta uhalifu wa kidini?
Watanganyika rudini kwenuNimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili.
Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga,
Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa Zanzibar na uhasama unakua kila kukicha, serikali ipo kwenye mfungo mtukufu, Wakristo hawa Wazanzibar hawana msaada, nani awaokoe vijana wa kikikristu ambao hawajao wanaotegemea kwa mama lishe na migahawani kupata mlo wao? Nao wafunge???
Nini tutarajie majibu ya wahanga hawa kama sio gharika? Serikali inasubiri kuunda tume baada ya mauaji??
Nimeisoma na kuipekua katiba ya Zanzibar kuona kama kuna kifungu kinachowapa haki waislamu kudhibiti uhuru wa watu wengine,
Zaidi nilitaja kujua kama Zanzibar ni nchi ya kidini au ni nchi inayotawaliwa kwakufuata sharia.
Sehemu mhimu ya katiba ya Zanzibar ni hii hapa, jioneeni kama ni haramu kula chakula hadharani nchini Zanzibar.
SURA YA KWANZA- ZANZIBAR
Sehemu ya Kwanza
1.Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 2A. Kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za Serikali, Rais aweza kuigawa Zanzibar katika Mikoa, Wilaya na maeneo mengineyo kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
3.(1) Kutakuwa na Muhuri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambao alama yake itakuwa kama itavyokubaliwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
(2) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itakuwa na uwezo wa kuweka kitu chochote kitachokuwa kielelezo cha Serikali kama itavyokubaliwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
4. Katiba hii ni Katiba ya Zanzibar na itakuwa na nguvu za kisheria nchini kote na isipokuwa kutokana na kifungu 80 ikiwa sheria yoyote inatofautiana na Katiba hii, basi Katiba hii ndiyo itayokuwa na nguvu na sheria hiyo itakuwa batili kwa kiwango kile ambacho kinahitilafiana.
5. Zanzibar itafuata mfumo wa Kidemokrasia wa Vyama Vingi vya Siasa wenye kuheshimu utawala wa sheria, haki za binaadamu, usawa, amani, haki na uadilifu.
5A.(1) Zanzibar itafuata mfumo wa mgawanyo wa madaraka kati ya mamlaka tatu, Mamlaka ya Utendaji, Mamlaka ya Kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma na Mamlaka ya Kutekeleza Utoaji Haki.
(2) Mamlaka ya Utendaji ni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mamlaka ya kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma ni Baraza la Wawakilishi na Mamlaka ya Kutekeleza Utoaji Haki ni Mahkama.
(3) Hakuna mamlaka itakayoingilia Mamlaka nyengine isipokuwa kama na kwa kadri ilivyoelezwa katika Katiba hii.
Takhbiiiiiiìirrrr !!!!Teh teh teh,uislam hauna nguvu katika muktadha upi?
Yaani Kwa kuwa unasema wewe tuh kuwa waislam hatuna nguvu huku bara then what?uislam hauna nguvu kwenye kitu Gani hasa,fafanua...
Makafiri tunajua chuki zenu kwetu waislam na uislam kwahiyo hamtupi shida,eti unasema matukio yote ya kihalifu hutokea kipindi Cha Ramadhan,matukio yepi?
Nimekuchallange kuwa huenda anaepigwa hapo akawa ni muislam vile vile,ulichojibu ni hisia zako tuh...
Eti sote tupo kwenye mfungo,kwani makafiri na nyinyi mnafunga?hiyo kwaresma mnafunga kula au Nini exactly,mbona tunaona mnaendelea tuh na ratiba zenu za maakuli kama siku zote,do you the exact meaning of fasting?
Uliandika kitu cha hovyo sana.Mbona uulizi kwanini makanisa mengi sana huko Tanzania Bara yanazuia kwa nguvu zote waumini kuingia na vimini wakti wa ibada? Je hujui kwa nini?
Pia sijawahi kusikia Waislamu wote wana mtazamo mmoja wa udini.
NI halali kwa mujibu wa sheria za kiislamu
Huo ni ukweli 100%Na ndio hapo hoja yangu ipo kuwa Waislamu hawawezi ishi na jamii zingine hasa wakiwa wengi au wakiwa na nguvu
Dini ya kihuni kushinda ile ambayo kiongozi wake Mkuu anatoa Ruksa ya Sodom na kuwaruhusu wafuasi wafunge ndoa za mashoga?UISLAM ni Dini ya kihuni.
Haiwezekan muumini huna uvumilivu kiasi kwamba, Kula kwangu, kukufanye wewe utende Dhambi.
Ulaya Marekan wanaipiga vita Dini hii sababu imekaa Kaa kimchongo mnoo
πππππ€ππUmejuaje kwamba hao wanaopigwa na Wakristo? Kwani kwa kuwa huu ni mwenyezi mtukufu ndo unadhani kila anayejiita mwislamu anafunga?
Ni sahihi kabisa kukemea kitendo hicho lakini kusema wa-Islamu wanawapiga Wakristo bila kuwa na uhakika ikiwa wanaopigwa ni wa-Kristo, nashawishika kuamini huko ni kuvuka mipaka.
Nyoosha maelezo watoto wanaweza wasikueleweKwa kuing'ang'ania Zanzibar tunajiundia Israel na Palestina ya kwetu.