Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kampuni nyingi za ulinzi zinalipa tarehe 10 ili ukiach kazi uwe umefanya kazi siku 10 bureMlinzi analipwa elf 4 kwa siku na bado anakopwa mwezi ili asikimbie kwa hofu atapoteza mshahara wake anaodai.
Ulipwa siku 40 badala ya mwisho wa Mwezi.
Pana jamaa alikuwa anakanyaga Toka airport dar Hadi kawe lindoni.
Chocho zote za shortcut anazijua