Mkuu uelewa ni jamno pana sana tuwasamehe bure hao wasiojua tofauti husika.Mkuu, naona kuna watu hawaelewi tofauti yamukumbi wa Bunge na kuingia Bungeni
Hawajajitambulisha bayana kama wapo.Sijasikia dua ya wasioamini uwepo wa Mwenyezi Mungu
Pole sana mkuu. Haina haja ya kubishana na wewe usiyejitambuaSio vizuri ku take advantage ya hamu ya watu kujua kinachojiri kwenye Bunge lao kwa kuwadanganya. Huo uadilifu wenu wa kusema ukweli umeanza lini? Wewe na huyo Simiyu Yetu kaeni kwenye Tv mkitaka kuripoti au kuacha shauri yenu, bado watu watapata habari za Bunge from reliable sources.
Sent from my iPad using JamiiForums
Hawajajitambulisha bayana kama wapo.
endelea na wewe kuripoti kupitia vyanzo vyako. Siwi tupo hapq mjengoni. Ila uombe umeme usikatikeSasa nami naripoti kupitia Nionayo katika Tv. Mwenyekiti anatoa maelezo kuhusu kanuni zilizokwama jana na kulingana na ushauri wa Chenge
Sent from my iPad using JamiiForums
Ha ha ha ha ha ha ha ha !Ni sawa mkuu lakini hawajawatendea haki watu jamii ya Kingunge Ngombale Mwiru
endelea na wewe kuripoti kupitia vyanzo vyako. Siwi tupo hapq mjengoni. Ila uombe umeme usikatike