Yanayojiri Bunge Maalum la Katiba leo Tarehe 7.3.2014.

Yanayojiri Bunge Maalum la Katiba leo Tarehe 7.3.2014.

Sijasikia dua ya wasioamini uwepo wa Mwenyezi Mungu
 
Sasa nami naripoti kupitia Nionayo katika Tv. Mwenyekiti anatoa maelezo kuhusu kanuni zilizokwama jana na kulingana na ushauri wa Chenge


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Sio vizuri ku take advantage ya hamu ya watu kujua kinachojiri kwenye Bunge lao kwa kuwadanganya. Huo uadilifu wenu wa kusema ukweli umeanza lini? Wewe na huyo Simiyu Yetu kaeni kwenye Tv mkitaka kuripoti au kuacha shauri yenu, bado watu watapata habari za Bunge from reliable sources.


Sent from my iPad using JamiiForums
Pole sana mkuu. Haina haja ya kubishana na wewe usiyejitambua
 
Sasa nami naripoti kupitia Nionayo katika Tv. Mwenyekiti anatoa maelezo kuhusu kanuni zilizokwama jana na kulingana na ushauri wa Chenge


Sent from my iPad using JamiiForums
endelea na wewe kuripoti kupitia vyanzo vyako. Siwi tupo hapq mjengoni. Ila uombe umeme usikatike
 
Ni sawa mkuu lakini hawajawatendea haki watu jamii ya Kingunge Ngombale Mwiru
Hakika Mkuu.mwanawachosha sana wazee wetu hawa kwa kuchelewa kwao kwa makusudi
 
Tulichelewa kidogo kuanza kikao kutokana na viongozi kuwa na kikao cha pamoja ili kupanga na kukubaliana namna nzuri ya kupitisha vifungu vyenye mijadala mipana hasa kula ya siri au wazi.

Lakini viongozi wamekubaliana kuwa na kamati ya pamoja ili ikae na kujadili namana nzuri ya kupata mwafaka wa namna ya kupitisha vifungu hivyo.
 
Mwenyekiti anatoa taarifa ya kile kikao alichokaa na viongozi wa makundi ya bunge hili. Anasema kuwa Kamati ya mashauriano ataiunda leo mchana ili kushughulikia vifungu vyenye utata yaani kuanzia kifungu cha 32 hadi 43.
 
endelea na wewe kuripoti kupitia vyanzo vyako. Siwi tupo hapq mjengoni. Ila uombe umeme usikatike

Basi mkuu endelea wewe na jukumu hili muhimu. Angalizo tuu ni kuwa acha ushabiki. Acha mie niendelee na ujasiriamali wangu maana kuna watu wanasubiri niwahudumie nami nipate mshiko si unajua weekend hiyooo inakuja?


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kama kawaida, taarifa, maombi, usawa wa jinsia vinaendelea
 
Leo sijawaona wale watu wawili wanaobadilishana jinsia wakati wa kuchangia hoja. Akitwajwa yule wa kike, anasimama wa kiume, hali kadhalika akitajwa yule wa kiume anasimama yule wa kike. Halafu wanafujo sana
 
Hawa jamaa ni wapuzi sana yani wanahairisha wakti wamechelewa kuingia Bungeni,halafu wanasingizia swala swala,------- zao
 
Aaa kama kawaida yule wa kiume nimemsikia akikalishwa na mwenyekiti
 
Back
Top Bottom