Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Ramadhani Shabaan: Znz kazi tunayo. Tuna matatizo na tumekaa vikao vingi kujadili .. ndo ikaja na marekebisho ya katiba
 
Wazanzibari wanavijimisemo.. Bunge rahaaaa "ndekwa"
 
Ramadhani: mambo ya Muungano yamepunguzwa yamebaki 7 tu.. nafasi tumepewa kurekebisha katiba
 
Mlemavu anasema kuwa kutumia majina kama vipofu, viwete, viziwi ni kwadhalilisha walemavu,
Mimi sijamuelewa huyu mtu, anataka kipofu au kiziwi aitwe nini?, wawe wanaitwa tu walemavu bila kuainisha aina ya ulemavu?

LABDA IWE HIVI......!!!
Kipofu-mlemavu wa macho.
Kiziwi-mlemavu wa masikio.
Bubu-mlemavu wa mdomo.
Kipara-mlemavu wa nywele.
Kitambi-mlemavu wa tumbo.
Mapengo-mlemavu wa meno. Wowowo-mlemavu wa matdko.
Lesbian-mlemavu wa knma.
Gay-mlemavu wa mbo.o
 
Kutazama hili bunge ni stress tupu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ramadhan Abdallah Shaaban anaongea sasa. Anasema kuwa mambo mengi yaliyoainishwa kama kero za muungano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba tayari yameshapatiwa ufumbuzi. Anawataka wajumbe kutumia mjadala huu wa katiba kurekebisha kero zilizopo. Anasema kuwa wanachofanya wapinzani ni kama NDEKWA. kwamba wanatumia madai ya serikali tatu kwa ajenda wanazozijua wenyewe.

Kuhusu uwekezaji anasema kuwa wabara na wazanzibari wanawekeza kila upande. Amezitaja hoteli kama za Sea Cliff ya Subash Patel na Kiwonga inayomilikiwa na watu wa kilimanjaro

Anapendekeza kurejesha mfumo wa Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Rais wa serikali ya Muungano na ugomvi utakuwa umekwisha
 
Wazanzibar wanawekeza bara na kodi inapatikana pia wabara wanawekeza zanzibar na kodi inapatikana vema kwahiyo pande zote zinanufaika.
 
Kutazama hili bunge ni stress tupu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu, hakika ukiwa na ustanimilivu kwenye bunge hili utakuwa na ustanimilivu mpaka kwenye ndoa yako
 
Ramadhani anashauri Rais wa zanzibar arudishwe kuwa makamu wa kwanza wa rais.
 
Ramadhani Abdallah Shabani;
Zanzibar tumekuwa na matatizo ndo maana tupo hapa ili kumaliza na kufanya hayo marekebisho ya kero za muungano. Hata hii rasimu yenyewe imetaja na kushughulikiwa maswala ya muungano. kero kubwa na mafuta na gesi. Mafuta na gesi tutashughulikia wenyewe. maswala ya bandari anga usafiri ushirikiano wa kimataifa tumeachiwa wenyewe zanzibar. Mwanamke akitaka kuachwa mpe kila kitu atakuambia mie mie mie mie...!!ndio.

Wazanzibar wanawekeza bara na kodi inapatikana. na wabara wamewekeza zanzibar na kodi inapatikana seacliff na subash kiwengwa zimejengwa na wabara tunapata kodi pale. Mimi niwashauri wanasheria wakatizama ile sura ya nne imeondolewa kabisa ebu izingatiwe.

Kingine hebu tufanye utaratibu wa kuwapunguzia hoja hawa wapinzani. tureshe nafasi ya rais wa zanzibar kuwa makamu wa rais wa muungano ilejeshwe. Naunga mkono serikali mbili. asante sana.
 
Ramadhani: kuna wabara kama Subash na hoteli ya Seacliff wameinvest na kodi tunapata Znz
 
Mkuu, hakika ukiwa na ustanimilivu kwenye bunge hili utakuwa na ustanimilivu mpaka kwenye ndoa yako
Kabisa kabisa mkuu siasa na mijadala ya bunge hili ni pasua kichwa kweli.
 
Ramadhani: mambo ya Muungano yamepunguzwa yamebaki 7 tu.. nafasi tumepewa kurekebisha katiba
Mkuu, si mambo ya muungano bali amesema kero za muungano zimepungua hadi kufikia saba na anaimani kama watatumia vizuri mchakato huu wa mabadiliko ya katiba, kero hizo zitakuwa zimeisha
 
Hawa wazinzibaa wana maneno yao kwa mtu wa kawaida huwezi kuyaelewa.
Sasa mtu wa huko makundu.uchi anajitapa kuwa anakwenda sana kulala kwa hotel na guest za kule kwao zenji.
 
Mimi wakija magamba nazima katv kangu wakija wenye akili timamu nawasha
 
Ramadhani: hebu turejeshe rais wa Znz kuwa makamu wa muungano
 
Mkuu, si mambo ya muungano bali amesema kero za muungano zimepungua hadi kufikia saba na anaimani kama watatumia vizuri mchakato huu wa mabadiliko ya katiba, kero hizo zitakuwa zimeisha

Nashukuru mkuu kwa kuedit
 
Back
Top Bottom