Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlemavu anasema kuwa kutumia majina kama vipofu, viwete, viziwi ni kwadhalilisha walemavu,
Mimi sijamuelewa huyu mtu, anataka kipofu au kiziwi aitwe nini?, wawe wanaitwa tu walemavu bila kuainisha aina ya ulemavu?
Mkuu, hakika ukiwa na ustanimilivu kwenye bunge hili utakuwa na ustanimilivu mpaka kwenye ndoa yakoKutazama hili bunge ni stress tupu
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Kabisa kabisa mkuu siasa na mijadala ya bunge hili ni pasua kichwa kweli.Mkuu, hakika ukiwa na ustanimilivu kwenye bunge hili utakuwa na ustanimilivu mpaka kwenye ndoa yako
Ntakufungulia thread mkuu juu ya hayo uloyanena.
Hebu tuendelee na hili kwanza tusiipotoke ndia.
Mkuu, si mambo ya muungano bali amesema kero za muungano zimepungua hadi kufikia saba na anaimani kama watatumia vizuri mchakato huu wa mabadiliko ya katiba, kero hizo zitakuwa zimeishaRamadhani: mambo ya Muungano yamepunguzwa yamebaki 7 tu.. nafasi tumepewa kurekebisha katiba
Nimejifunza mengi sana kwenye mjadala huu wa katibaKabisa kabisa mkuu siasa na mijadala ya bunge hili ni pasua kichwa kweli.
Mkuu, si mambo ya muungano bali amesema kero za muungano zimepungua hadi kufikia saba na anaimani kama watatumia vizuri mchakato huu wa mabadiliko ya katiba, kero hizo zitakuwa zimeisha
Sijui amechangia nini huyu Diana Chilolo hatasimuelewi mie.