Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
Jamani sheria ya ndoa haijui mipaka ya vyama. Hata kama gamba oa Tu ilimradi lisiwe jizi
 
Hapo kunaashiria mchezo ushakwisha, hakuna cha kusomwa hapo walanini. Wananchi tuangalieni njia nyingine mbadala.
By Nyakua nyakitita

Kwa taarifa ya Mwenyekiti Wa Binge IDD Zungu kuwa hawajapata zuio la mahakama na na kuahidikutolea mwongozo jioni ,name kutoonekana kwa sipika Bungen inaashiria mama huyo yupo kufuatilia.


SASA JWTZ KAMA HAWATAKI CHUKUA NCHI,
KWA MASLAHI YA WANANCHI BASI WOOTEE
TUWE MAFIA TU
:A S cry:
 

Rejea mkuu zuio la mahakama kuhusu msanii wa nigeria Davido kupafom so if it was possible for him to perform je si zaidi kwa bunge letu tukufu?
 
Hahahaa haaaa uwiii
Sikuiona hyo!

Ila unajua ukifikiria sa nyingine unashikwa na hasira sana basi tu...
Ngoja tuone Mungu atusaidie. ..kuna mdau amenitxt hapa kuwa.lzm isomwe ni kada wa kundi la mwakyembe !
Sasa km na yy muongo ndo basi tena. ...

Duu kwa dalili nilio iona bungeni nimepoteza matumaini na report kusomwa!
 
Hahahaaa...bora wewe unatetemeka yani mimi presha iko juu na ninahofia chochote kinaweza tokea hio repot isisomwe.

Hii ripoti inazimwa maana kama asubuhi imeshindikana sasa jioni ndo itawezekana? Mimi nina wasiwasi na hili.
 
Tunangojea kiongozi mzalendo atuambie alipo tumfuate tulianzishe endapo itashindikana wezi kuwajibishwa
 
Natamani niwe sniper aisee

Mkuu haya mawazo/matamanio yako , Mimi ninayo muda mrefu sana sasa hivi.
Yaani tena yule wa kujitegemea , asiyehitaji intelligence ya mtu kufanya kazi yake.
Kutokwenda jeshini pamoja na nafasi nilizopata itakuwa Mwenyezi Mungu ananiepusha na makubwa.
 
Me nishamwaga ya mbu, kunguni nabado hakija eleweka. Au damu gani mkuu unayo izania?

Kama hatuwezi kuwawajibisha haya manyang'au basi tuungane yano kila mtu awe mwizi ili tusiwaachae manyang'au wachache kumaliza rasilimali za watanganyika
 
hata wabunge wameshajua watz ni mashabiki wa TV tu
 
wanaomba miongozo eti watz wanatutizama kwenye TV wameshajua news is seven days wonder!!!!!!!!!!tutashabikia yatapita
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…