Vyombo vyote vya habari vya kimataifa vimeonyeshwa tukio hili dunia nzimaKumnyima kivuko kumemfanya awe karibuni zaidi na wapigakura.
Duuh , kuna watu wanapendwa.View attachment 1600026
hapa ni barabarani Mkuu wa Nchi anapita
Hivi kurudia kusoma kabla hujapost ni dhambi??Ulerewe nj Chadema na Cchadema ni ukerewe,Mwaka 2010 Chadema walipata mbunge hapo,mwaka 2015 tena Chadema walipata mbunge kabla hajaunga Juhudi. na wamekuwa watu wa upinzani bila hata viongozi wa Chadema taifa kwenda kufanya kampeni huko.Chadema Wameongoza halimashauri ya kwa awamu pili sasa.
Acha fix ; mkutano ama fiesta!!mkutano wa kawe huu hapa LIve acha kudanganya
sicheki ✌CHEKI hapo Magufuli akishusha kampeni TEGETA leo leo
Hapo ukerewe mnakoenda ndipo hapo mamia ya watu waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere wengi wakiwa wapiga kura wenu CHADEMA ila mazishi hamkukanyaga sasa kinawapelela nini hapo?
Ushahidi huu hapa
Mdee anena kuhusu viongozi wa CHADEMA kutohudhuria mazishi ya waliokufa kwenye ajali ya MV Nyerere
Askofu Gwaji naye anasikiliza na kucheza fiesta.by the way Askofu pia aliombewa dua ili ashinde uchaguziAcha fix ; mkutano ama fiesta!!
unachangia kwenye uzi huu au umepotea jukwaa?
Waliokufa kwenye tetemeko nyie mliwafanyaje pamoja na rambirambi waliochangiwa.Hapo ukerewe mnakoenda ndipo hapo mamia ya watu waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere wengi wakiwa wapiga kura wenu CHADEMA ila mazishi hamkukanyaga sasa kinawapelela nini hapo?
Ushahidi huu hapa
Mdee anena kuhusu viongozi wa CHADEMA kutohudhuria mazishi ya waliokufa kwenye ajali ya MV Nyerere
Wewe unaonekana ni mgumba, siyo kwa hili gubu. Na Mungu amekupa stahili yako. Stress uliyonayo itakutoa roho. Post zako nyingi sana humu ni za uongo uongo, unafiki wa hali ya juu na uzushi wa hovyo hovyo tu. Kuwa makini na hali yako. Na kama unao ndugu zako humu wafuatilie kwa ukaribu mwenendo wako.Lisu yuko njiani kuelekea ukerewe .
Chadema hawakukanyaga kwenye mzishi ya mamia ya wana Ukrerewe waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere ila sasa viongozi wataenda kujazana kule kuomba kura wasivyokuwa na haya.Jimbo la Ukerewe kipindi cha ajali hiyo lilikuwa chini ya CHADEMA na mbunge wa CHADEMA...
Wewe tulia utaona wembe ni ule ule USHINDI.Hehehehehe unajua kujifariji
Dada una mwandiko mzuriLisu yuko njiani kuelekea ukerewe .
Chadema hawakukanyaga kwenye mzishi ya mamia ya wana Ukrerewe waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere ila sasa viongozi wataenda kujazana kule kuomba kura wasivyokuwa na haya.Jimbo la Ukerewe kipindi cha ajali hiyo lilikuwa chini ya CHADEMA na mbunge wa CHADEMA.
Baada tu ya mazishi alianchia ngazi kwa uchungu wa kuona chadema taifa hawakukanyaga kwenye mazishi ya mamia ya watu wa ukerewe wakati alipokufa Ndesamburo walifurika na kuitisha michango kibao na hata mbwa wa Nassari alipokufa uongozi wa Chadema ULIHUDHURIA MAZISHI Lakini Mazishi ya WANA ukerewe wapiga kura wao hawakwenda
Mbona ameelewekaHivi kurudia kusoma kabla hujapost ni dhambi??
Sasa umeandika nini hapa.😂
Mtu aliyeshindwa uongozi kutosha kwake ni kupi ?Wewe tulia utaona wembe ni ule ule USHINDI.
October 28th kura zote ni kwa JPM
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA