Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Majimbo ya Ukerewe na Rorya

Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Majimbo ya Ukerewe na Rorya

Ukerewe ni Chadema na Chadema ni ukerewe,Mwaka 2010 Chadema walipata mbunge hapo,mwaka 2015 tena Chadema walipata mbunge kabla hajaunga Juhudi. na wamekuwa watu wa upinzani bila hata viongozi wa Chadema taifa kwenda kufanya kampeni huko.Chadema Wameongoza halimashauri ya ukerewe kwa awamu pili sasa.
 
Ulerewe nj Chadema na Cchadema ni ukerewe,Mwaka 2010 Chadema walipata mbunge hapo,mwaka 2015 tena Chadema walipata mbunge kabla hajaunga Juhudi. na wamekuwa watu wa upinzani bila hata viongozi wa Chadema taifa kwenda kufanya kampeni huko.Chadema Wameongoza halimashauri ya kwa awamu pili sasa.
Hivi kurudia kusoma kabla hujapost ni dhambi??

Sasa umeandika nini hapa.😂
 
Hapo ukerewe mnakoenda ndipo hapo mamia ya watu waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere wengi wakiwa wapiga kura wenu CHADEMA ila mazishi hamkukanyaga sasa kinawapelela nini hapo?

Ushahidi huu hapa
Mdee anena kuhusu viongozi wa CHADEMA kutohudhuria mazishi ya waliokufa kwenye ajali ya MV Nyerere

Hivi waliosababisha hivyo vifo ni nani hasa.tuanzie hapo labda.na ni nani wa kulaumiwa zaidi ,aliyesababisha vifo kwa uzembe na maksudi au ambaye hakushiriki msiba wa vifo uliosababishwa na uzembe
 
Walifikiri kuzuia meli kutafanya watu wasiende ukerewe ? Walianza helkopta sasa meli wameishiwa mbinu wamebakiza kufanya ujinga tu , mwaka huu watapiga magoti Mpaka yachubuke .
Screenshot_20201014-164737.png
Screenshot_20201014-165259.png
Screenshot_20201014-164828.png
IMG_20201014_110717.jpg
 
Mungu mbariki Tundu Lissu. Mlinde na wabaya wake wote
 
Lisu yuko njiani kuelekea ukerewe .

Chadema hawakukanyaga kwenye mzishi ya mamia ya wana Ukrerewe waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere ila sasa viongozi wataenda kujazana kule kuomba kura wasivyokuwa na haya.Jimbo la Ukerewe kipindi cha ajali hiyo lilikuwa chini ya CHADEMA na mbunge wa CHADEMA...
Wewe unaonekana ni mgumba, siyo kwa hili gubu. Na Mungu amekupa stahili yako. Stress uliyonayo itakutoa roho. Post zako nyingi sana humu ni za uongo uongo, unafiki wa hali ya juu na uzushi wa hovyo hovyo tu. Kuwa makini na hali yako. Na kama unao ndugu zako humu wafuatilie kwa ukaribu mwenendo wako.
 
Hakika kama hali ndio hii CCM wajiandae kukabidhi madaraka kwa utulivu tuu kwani ukweli ni kuwa wamechokwa na wao bila kutambua wanalazimisha kuchokwa zaidi na kuchukiwa.

Kitendo cha kumfanyia figisu Lissu asiende kisiwani Ukerewe eti Kivuko kibovu kisha Lissu akaamua Ku risk na kutumia mtumbwi ili afike Ukerewe kimemgeuza kuwa Shujaa mkubwa na ukijumlisha na spana alizochakazia huko basi mambo ni bambam na CCM Imeisha.

Jee kweli CCM itapona mwaka huu? Maana hata wazee na kinamama ambao ndio walikuwa tumaini kuu la CCM nao wameitosa CCM na Magu ndio kabisa hawataki kumsikia.


 
Lisu ni YEYE, awamu hii CCM inapelekwa makumbusho. Mwezi huu ni mwisho wa wasiojulikana, mauaji na utekaji wa raia wema
 
Lisu yuko njiani kuelekea ukerewe .

Chadema hawakukanyaga kwenye mzishi ya mamia ya wana Ukrerewe waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere ila sasa viongozi wataenda kujazana kule kuomba kura wasivyokuwa na haya.Jimbo la Ukerewe kipindi cha ajali hiyo lilikuwa chini ya CHADEMA na mbunge wa CHADEMA.

Baada tu ya mazishi alianchia ngazi kwa uchungu wa kuona chadema taifa hawakukanyaga kwenye mazishi ya mamia ya watu wa ukerewe wakati alipokufa Ndesamburo walifurika na kuitisha michango kibao na hata mbwa wa Nassari alipokufa uongozi wa Chadema ULIHUDHURIA MAZISHI Lakini Mazishi ya WANA ukerewe wapiga kura wao hawakwenda
Dada una mwandiko mzuri
 
Back
Top Bottom