Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

Wakati tunafurahia hiki kimbuka tukumbushane kwamba kura za urais hazina maana kama hatumpi na wabunge na madiwani aambatane nao. Rais asiye ba bunge hataweza kufanya chochote. Tukampe Lissu wabunge na Madiwani anaowataka.
 
Rais Ni Lissu system za nchi zishahamua
 
CDM peke Yao hawawezi nyinyi wananchi mnatakiwa muwasindikize na kuwalinda mawakala kwa wingi wetu.
 
Unawaza na wowowo...
 
Ngome ya CCM Lushoto imebomoka leo tena. Daah magufuli umepoteza sana muda aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…