Magufuli akiunguruma Same
Siwezi kupoteza hata sekunde kumusikiliza huyu!Nisikia sauti yake tu sisi familia na ukoo wa Ben Saanane tunaumia mno!
Huyu jamaa ni katili haswa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli akiunguruma Same
Magufuli akiunguruma Same
Mambo ya kitotoo 24x7!!View attachment 1606235View attachment 1606237View attachment 1606239
Chama cha Mbowe, wakala wa kina Amsterdam.
Aisee Safi sana sisi tulikuwa tunawaza kuwalipa mawakala wa CHADEMA fedha mara mbili zaidi ya ile ya CCM !Mawakala wetu wa Chadema waende kuapishwa sisi hapa Geita tumechanga fedha za Chakula kwa ajili ya mawakala
Wahimizeni Mkoa yote na Majimbo yoteAisee Safi sana sisi tulikuwa tunawaza kuwalipa mawakala wa CHADEMA fedha mara mbili zaidi ya ile ya CCM !
Tunaendelea na michango mkoa mzima
Mbona unaweweseka na umejaa hofu? October 28 ndio mwisho wa buku 7 hivyo anza kutafuta kazi halaliAnapoteza muda bure,watanzania hawana imani nae.
Muache aendelee kupoteza muda, kwani tatizo liko wapi...!?Anapoteza muda bure,watanzania hawana imani nae.
Rais Ni Lissu system za nchi zishahamuaHuu uchaguzi usichukuliwe poa kabisa, kuna jambo linaenda kutokea naamini kati ya Lissu au Membe mmoja anakabidhiwa funguo.
Kwa nini Membe?
1. Ifahamikee Lissu anaweza kushinda na akishinda ccm hawawezi kumpa nchi watatumia njia ya ku_bypass na ndipo dodo linamdondokea mbobezi Bernard ikiwa na maana siyo threaten kwa ccm.
Na kwa nini asiwe Lissu?
2. Endapo itafahamika kweli kashinda, msimamo wake na nguvu itakayopatikana kutoka kwa Umma pamoja na watu kusimama imara kwa lolote hii ndiyo njia itakayofanya kwa mara ya kwanza shetani aone haibu.
Mmm, tusije tukaambiwa tunawapa rushwa!Aisee Safi sana sisi tulikuwa tunawaza kuwalipa mawakala wa CHADEMA fedha mara mbili zaidi ya ile ya CCM !
Tunaendelea na michango mkoa mzima
CDM peke Yao hawawezi nyinyi wananchi mnatakiwa muwasindikize na kuwalinda mawakala kwa wingi wetu.Wanategemea kucheza na mawakala....kwamba kiapo kipo kesho ila barua ya utambukisho hakuna...ati utaikuta kituoni ...
Pia mchezo wa mawakala kutekwa upo...yaani kama vilevile wakati wa kurudisha form za uteuzi... unapotea asubuhi unaonekana saa tisa mchana umelewa chakali
CDM kuweni makini msiseme hatukiwatonya.
Unawaza na wowowo...Huu uchaguzi usichukuliwe poa kabisa, kuna jambo linaenda kutokea naamini kati ya Lissu au Membe mmoja anakabidhiwa funguo.
Kwa nini Membe?
1. Ifahamikee Lissu anaweza kushinda na akishinda ccm hawawezi kumpa nchi watatumia njia ya ku_bypass na ndipo dodo linamdondokea mbobezi Bernard ikiwa na maana siyo threaten kwa ccm.
Na kwa nini asiwe Lissu?
2. Endapo itafahamika kweli kashinda, msimamo wake na nguvu itakayopatikana kutoka kwa Umma pamoja na watu kusimama imara kwa lolote hii ndiyo njia itakayofanya kwa mara ya kwanza shetani aone haibu.
Huna maono.Mbona unaweweseka na umejaa hofu? October 28 ndio mwisho wa buku 7 hivyo anza kutafuta kazi halali
Aiseee mpaka Tanga wanataka mabadiliko? Kweli Lissu ni shujaa wa kizazi hiki.
MMM amesifia bado akakosa teuziMzee Mwanakijiji nakuona online , tunaomba maoni yako
Hakuna paliposaliaAiseee mpaka Tanga wanataka mabadiliko? Kweli Lissu ni shujaa wa kizazi hiki.
Ngome ya CCM Lushoto imebomoka leo tena. Daah magufuli umepoteza sana muda aisee.Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya majimbo ya Kilimanjaro na baadaye kuingia Tanga.
Kama kawaida yetu tutakuwepo hewani tena kuwaletea kinachoendelea kila anapopita.
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.
View attachment 1605808
========
Lushoto
View attachment 1606397