Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Hasira za mkizi.Ni kweli mkuu baada kazi ngumu ya kampeni lazima akale bata na mama yako usiwe na wasiwasi utapata na zawadi ya jeans wewe chagua rangi tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasira za mkizi.Ni kweli mkuu baada kazi ngumu ya kampeni lazima akale bata na mama yako usiwe na wasiwasi utapata na zawadi ya jeans wewe chagua rangi tuu
Lissu ni Mtanzania mzalendo na atabaki Tanzania. Acha kupotosha watuAnafanya utalii maana soon anarudi ulaya kula bata.
ENDELEA KUOTACCM tutaimiss sn baada ya tarehe 28/10/2020
Sawa mkuuENDELEA KUOTA
Uchambuzi wangu wa kijasusi unaonesha Lissu anapata kura nyingi kumshinda mpinzani wake. Kumtangaza ndipo itakapokuwa shida kwani kitendo cha yeye kuwa rais mpinzani wake anaweza kuburuzwa ICC jambo ambalo hayupo teyari kwenda mahakamaniHuu uchaguzi usichukuliwe poa kabisa, kuna jambo linaenda kutokea naamini kati ya Lissu au Membe mmoja anakabidhiwa funguo.
Kwa nini Membe?
1. Ifahamikee Lissu anaweza kushinda na akishinda ccm hawawezi kumpa nchi watatumia njia ya ku_bypass na ndipo dodo linamdondokea mbobezi Bernard ikiwa na maana siyo threaten kwa ccm.
Na kwa nini asiwe Lissu?
2. Endapo itafahamika kweli kashinda, msimamo wake na nguvu itakayopatikana kutoka kwa Umma pamoja na watu kusimama imara kwa lolote hii ndiyo njia itakayofanya kwa mara ya kwanza shetani aone haibu.
Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya majimbo ya Kilimanjaro na baadaye kuingia Tanga.
Kama kawaida yetu tutakuwepo hewani tena kuwaletea kinachoendelea kila anapopita.
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.
View attachment 1605808
========
CCM inang'olewa 28/10 , jiandae kiakili , ni kweli kwamba inauma sana lakini huo ndio ukweliENDELEA KUOTA
Atashinda na atatangazwa , japo kwa kuchelewaUchambuzi wangu wa kijasusi unaonesha Lissu anapata kura nyingi kumshinda mpinzani wake. Kumtangaza ndipo itakapokuwa shida kwani kitendo cha yeye kuwa rais mpinzani wake anaweza kuburuzwa ICC jambo ambalo hayupo teyari kwenda mahakamani
Tuombe iwe hivyo... hopefully kiu ya watz itakatwaAtashinda na atatangazwa , japo kwa kuchelewa
Pia toka kwa wale ndugu za waliodhurumiwa uhai wa kuishiTunasubiri tu trh 28.10 Tanzania imeshafanya maamuzi bado tu tuyaidhinishe....
Makundi haya yote wana jambo lao trh hiyo
1. Wafanyakazi wa Umma na Binafsi.
2. Wakulima.
3. Wafanyabiashara wakubwa na wadogo (Machinga).
4. Wavuvi.
5. Wafugaji
nk nk nk
Maandishi ya mtu aliyekata tamaa haya!Anafanya utalii maana soon anarudi ulaya kula bata.
‘Mabwege’ siyo tusi? Hujatukana hapo au nyani anakwamaga wapi kugundua kwamba hata yeye ameungua huko nyuma?!Ahaaaa,mtatukana sana nyie mabwege.
Kila kitu kimejulikana , wazalendo ndani ya kundi lao wamevujisha kila kituWanategemea kucheza na mawakala....kwamba kiapo kipo kesho ila barua ya utambukisho hakuna...ati utaikuta kituoni ...
Pia mchezo wa mawakala kutekwa upo...yaani kama vilevile wakati wa kurudisha form za uteuzi... unapotea asubuhi unaonekana saa tisa mchana umelewa chakali
CDM kuweni makini msiseme hatukiwatonya.
Vjjana wengi wa ccm hawajui hatima yao baada ya wiki ijayoMaandishi ya mtu aliyekata tamaa haya!
Umemsikiliza maalim seif leo akiongea na waandishi wa habari?Ninachojiuliza ni kwamba, Membe yupo hapo Dar. inamchukua gharama gani kwenda kuwanadi hata wagombea ubunge wa chama chake hapo Dar? Maana nauli ni sh. 400 kutoka anapoishi hadi kwenye mikutano ya kampeni!!!
Leo January anapasuka jane lowasa njoo hukuZikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya majimbo ya Kilimanjaro na baadaye kuingia Tanga.
Kama kawaida yetu tutakuwepo hewani tena kuwaletea kinachoendelea kila anapopita.
Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika.
View attachment 1605808
========