Live coverage on JamiiForums
Sheria za vita zipo na zina manufaa iwapo zikifuatwa,mfano mzuri ni vita ya Urusi na Ukraine asilimia 95 ya walio kufa kwenye hiyo vita ni wanajeshi tu.

HizΓ΄ Sheria ni geresha tuu.

Hiyo ya Ukraine ni operation tuu.

Vita ni Kuua na kuangamiza Basi.

Wananchi wasiouawa tafsiri Yake wamejisalimisha na kuungana na adui
 
Mbona anachelewa sasa kujibu, hadi wakae vikao kama vikoba washauriane kufunga hadi anga lao wenyewe, Kweli Israel mbabe wa ME
 
Hivi huyu Iran anataka nini, si alisema shambulizi la Israel halikuwa na athari yoyote ya maana sasa iweje anataka aishambulie tena Israel..πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Baadae IRAn akaona atakosa sababu ya PROMIS NO 3 so akangaza wqjeda w4 wamekufa na majanga mengine kisha mbio akaenda UN kulalamika kushambuliwa na ISRAEL sasa ndio analipiza nayeye kushambuliwa kaa kwakutulia kula msos mapema ushibe yajayo ktk PROMIS NO 3 sio poa baada ya apo utakumbuka hii msg AKUNA TENA ISRAEL wala USA WA ULAYA watamjibu IRAN kijesh wataogopa PROMIS NO4 USA na wenzie watarudi kwenye vikwazo vikali utasikia vikwazo vikali sana 😬😬😬
 
Sasa anawaambia jirani ili iweje! Si apeleke moto? Baada ya hapo asubiri maana gea ya kwanza ni vinu vya nuclear na mitambo ya mafuta!
 
Ndoto nzuri sana hii!
 
Mpigaji serious hukaa kimya.
Sasa huyu muajemi pekeche pekeche zote hizi anadhani haziwafikii walengwa?
 
Iran hamiliki Suez Canal! Hiyo route itaendelea kuwepo!
Suez canal inaenda wapi ukitoka Israel!?
Si inakuja kutoea red sea baab al mandib!?
Kilitokea nini kwa meli za biashara za Israel zilipopita suez canal kwenda red sea ili ziendelee na safari!??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bro unachekesha kweli.
Miliki kilwa road mimi namiliki ukanda wa Kongowe tuone kama utapita kuelekea kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…