Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Angalia baada hizo drones 200s kushughulikuwa pamoja na hizo missiles zilizo njiani kuwa intercepted, mapigo atakayojibu Israel, myahudi hatanii, mbaya zaidi vita ya Israel ni ya USA, hapa hata kabla hizo drones hazijafika Israel tiari ndege vita zinaambaa anga la Syria mpaka Iraqi...Hiyo ni mikwara Tu...... mwanaume kashatia mguu.....
Safari hii Israel hachomoki
Natafuta bando la GB 10.Hizi ndo habari ninàzozipenda, muda wa Israeli kuwafanyia fujo nchi zingine kwa kuwa anajua hawezi kuguswa inabidi ufike mwisho. Nasikia mpango ni kutuma drones kuukeep busy mfumo wa ulinzi wa anga halafu zinatumwa ballistic missiles. Hata zikiwa intercepted ni somo tosha kwa myahudi na next time atawaza mara mbili kabla ya kuwachokoza wenzie
Hehe...mtakapoanza kulia humu "tuiombee Iran" pia usisahau kicheko chako hiki.nimecheka kifala.😅🤣
kuna ng'ombe imenitumia voice note analia Israel ameanzishiwa mashambulizi.huyu ni ng'ombe kabisa.
Huyo Hamas tu ambacho ni kikundi cha wahuni wakishindwa watawaweza waajemi...........Angalia baada hizo drones 200s kushughulikuwa pamoja na hizo missiles zilizo njiani kuwa intercepted, mapigo atakayojibu Israel, myahudi hatanii, mbaya zaidi vita ya Israel ni ya USA, hapa hata kabla hizo drones hazijafika Israel tiari ndege vita zinaambaa anga la Syria mpaka Iraqi...
Kwenye thread za wanaume hatu taki wavulana wa ku comment mahaba ya taarabuAngalia baada hizo drones 200s kushughulikuwa pamoja na hizo missiles zilizo njiani kuwa intercepted, mapigo atakayojibu Israel, myahudi hatanii, mbaya zaidi vita ya Israel ni ya USA, hapa hata kabla hizo drones hazijafika Israel tiari ndege vita zinaambaa anga la Syria mpaka Iraqi...
Kwani si tumekubaliana Iran hamuwezi Israel .Angalia baada hizo drones 200s kushughulikuwa pamoja na hizo missiles zilizo njiani kuwa intercepted, mapigo atakayojibu Israel, myahudi hatanii, mbaya zaidi vita ya Israel ni ya USA, hapa hata kabla hizo drones hazijafika Israel tiari ndege vita zinaambaa anga la Syria mpaka Iraqi...
Kwamba unamaanisha hujui kama Hamas ni Iran? Hezbollah ni Iran...!!???Huyo Hamas tu ambacho ni kikundi cha wahuni wakishindwa watawaweza waajemi...........
NajuaKwamba unamaanisha hujui kama Hamas ni Iran? Hezbollah ni Iran...!!???
Sure KAHARIBU sana jama 😂😂Babu Biden ana uaga u raisi
Hawa Jamaa Wanafiki hakuna Aisee.
Kaa kwa kutulia ushuhudie vitu ulivyokuwa ukivisoma kwenye history na kuhadithiwa na wakubwa wako.Najua
Kama kawashindwa vijakazi atamuweza boss mkuu mwenye kila aina ya maghala ya silaha
kwanza nafurahi kuona na wao wanatwanga sio kutuletea silaha Africa kuuwana sisi kwa sisi acha na wao watandikane.Hehe...mtakapoanza kulia humu "tuiombee Iran" pia usisahau kicheko chako hiki.
Historia inaenda kuandikwa......nakwenda kushuhudia anguko la taifa dhalimu za ISRAHELKaa kwa kutulia ushuhudie vitu ulivyokuwa ukivisoma kwenye history na kuhadithiwa na wakubwa wako.
Iran sio Gaza mzeeWamefanya kosa kubwa Sana ambalo sikutamani walifanya waengendelea kujenga uchumi wao
Wamedhirisha kauli yao ya muda mrefu kwa vitendo ya kutaka kufuta Israel kwenye ramani ya dunia
Majibu ya Israel yatakuwa zaidi ya Gaza ,
Soon mtaanza kusema ceasefire to Iran
Mbona hata wewe utalia tu, impact ya hii vita kiuchumi itakuwa kubwa sana kwetu, ngoja Iran itapopigwa penyewe utaona Kwa mf. bei ya mafuta itavyopaa...kwanza nafurahi kuona na wao wanatwanga sio kutuletea silaha Africa kuuwana sisi kwa sisi acha na wao watandikane.
nachoshangaa how come muafrica masikini na njaa zake eti analia kupata uchungu kwenye hizo vita🤣😅
bogus kabisa hii wumbwa.
Sio wanafiki,Iran ni tatizoHawa Jamaa Wanafiki hakuna Aisee.
Wamedharaulika sana kipindi hiki.