Live coverage on JamiiForums
Mbona hata wewe utalia tu, impact ya hii vita kiuchumi itakuwa kubwa sana kwetu, ngoja Iran itapopigwa penyewe utaona Kwa mf. bei ya mafuta itavyopaa...
najua na naomba Mungu kabisa iwe hivyo vita ikolee Dunia ipate matokeo ili sasa wakikaa kuamuana waheshmiane.
hao wakubwa huko wakiamuana kila mmoja ajue akizingua watatandikana.
 
Iran ni rahisi kumshambulia kuliko Gaza maana kambi za kijeshi ziko mbali na raia na wanajeshi wanavaa mavazi rasmi
Tofauti na Gaza hamas wanajificha nyumba ya wanawake na watoto huku wengine wakivaa hijab
Unataka kunambia IDF ichapane uso kwa uso ardhini na jeshi la iran?? We unachekesha sana
 
Wanaoingia vitani Iran, hofu unapata wewe.
Unawapenda sana Iran eeh?
Binadamu wote ni sawa na nisingetamani nione wairan wakipewa kipigo Kama Gaza kwa sababu ya MTU mmoja ameshindwa kutambua mtego Ayatollah

Pengine ndo muda wa anguko lake
Soon tusisikie Ukisema ceasefire in Iran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…