Acha ashambulie huyu ndiye alikua anatafutwa. Wasije omba mapatano sisi hatutaki pray for iran kwenye mitandaoMarekani IMESEMA kuwa iran inajiandaa KUISHAMBULIA ISRAEL leo usiku kama kulipa kisasi Cha kuuwawa Kwa kiongozi mkuu wa Hezbollah nasrallah apo juzi...
Mataifa yapi hayo mkuu? labda Iran wengine wale ni wanamgambo si jeshi la nchi yoyote ni proxy za iran.Huyu mwamba anastahili maua yake
Iran. Imeheshimisha sana leo kwakweli
Nilijua tu Kuna jibu kama hili baadae ๐๐Acha kumfananisha Mandonga na vitu vya kijinga.
FaizaFixyNa kuna makomandoo wa Hamas waliingian kiraia ndani ya telaviv na wao wamefanya yao๐๐พ
View attachment 3112501