LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
U.S.A amekuwa shilswadu...Iran piga mashoga hayo na bwana wao p.didy
 
Marekani IMESEMA kuwa iran inajiandaa KUISHAMBULIA ISRAEL leo usiku kama kulipa kisasi Cha kuuwawa Kwa kiongozi mkuu wa Hezbollah nasrallah apo juzi...
Acha ashambulie huyu ndiye alikua anatafutwa. Wasije omba mapatano sisi hatutaki pray for iran kwenye mitandao
 
Wamerusha makombora Israel muda huu

IMG-20241001-WA0032.jpg



R.I.H in Advance Ali Khamenei


God Bless Israel
 
Kutafuta ugomvi na Myahudi ni kujipalia makaa, wale hawajawahi kushindwa vita tangia enzi ya Mfalme Sauli na Mfalme Daudi.

Wale Hezibolla wanachomolewa mmoko mmoko dadeq.

Leo kaliwa kichwa kamanda wao anayeratibu makombora toka Iran kuingia Lebanon.
 
Mvua ya missiles inanyesha israel yote👇🏾

 
Na kuna makomandoo wa Hamas waliingian kiraia ndani ya telaviv na wao wamefanya yao👇🏾



. Vidume wamesema wacha mazayuni waingie Beirut, sisi tupo tel aviv.
 
Back
Top Bottom