Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ashambulie huyu ndiye alikua anatafutwa. Wasije omba mapatano sisi hatutaki pray for iran kwenye mitandaoMarekani IMESEMA kuwa iran inajiandaa KUISHAMBULIA ISRAEL leo usiku kama kulipa kisasi Cha kuuwawa Kwa kiongozi mkuu wa Hezbollah nasrallah apo juzi...
Mataifa yapi hayo mkuu? labda Iran wengine wale ni wanamgambo si jeshi la nchi yoyote ni proxy za iran.Huyu mwamba anastahili maua yake
Iran. Imeheshimisha sana leo kwakweli
Nilijua tu Kuna jibu kama hili baadae 😀😀Acha kumfananisha Mandonga na vitu vya kijinga.
FaizaFixyNa kuna makomandoo wa Hamas waliingian kiraia ndani ya telaviv na wao wamefanya yao👇🏾
View attachment 3112501