Israel yenyewe haina nuclear sites, haina fuel depot, haina valuable facilities ????BIG NEWS 🚨 Israel has reportedly planned to strike Iran's nuclear and oil facilities.
US said Israel has a right to defend itself proportionately.
US preparing for more sanctions against Iran.
Will Iran lose everything to Israel? Iran is more scared now as Israel remains silent.
According to analysts, Israel's response would be more severe than what people are thinking.
Endless line of cars for gas station in Tehran, they know that Iran's Oil & Gas Infrastructure isn't going to last long if Israel will retaliate.
View attachment 3116894
Habari inasema October 7, lakini imetoka kabla ya hio Oct 7 au ni typing error
Mbona Kama unaongea usengeBandugu akuna icho kitu msiote mchana akuna wakubwa akuna konjera yyte ohh mala USA anataka kumruusu lkn asipige pale na pale yote mapicha picha tu elimikeni Iran wakubwa kidunia ktk technology vita ni technology kuwa na jesh kubwaaaa au bondia kuwa na mwiri mkubwaa ndio kupata ushindi embu ona tyson na Bruno kama mwili ndio nguvu saaii tyson tushazika😆😆 mywether ajawai pigwa japo anakamwili kadogo. Si kila kitu ni akili ndio muimu. Na vita ni technology ndio inashinda sio kuwa na jesh kubwaa maviuma viuma makubwa mimeri mindege kama ayana technology bola ya kisasa ayana nafasi yyte ayakupi ushindi sababu adi sasa Iran anaonekana m'babe ki technology zaid Western yote. Kwaiyo sijui amapewa ruusa wapi, iyo vita media tu uyo USA mwenyewe atii mguu Iran sasa mnataka atoe ruhusa ikiwa yeye uwezo ana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Sasa mimi ni Muiran na Mrussia pia, kazi tunayo.Wayahudi kwa gongo la mboto na wa iran wa buza uwanja ni wenu.
Mrusi wa buza😅Sasa mimi ni Muiran na Mrussia pia, kazi tunayo.
Haaaahaaaah!!! Hao ndio wabongo bwana. Wanajua mambo ya Israel kuliko MOSADMpka ww umejua huo sio mpango Tena, Leo siku ya Tano tunahesabu tu
Hawawezi wakathubutu!Sasa mimi ni Muiran na Mrussia pia, kazi tunayo.
Wayahudi walishamkataa Yesu na kwao si masihi!Hata Kama Israel ikiisha yote,Niko nayo sambamba mpka yesu arudi kwa mara ya pili.
Kapigwa kipigo cha mbwa koko hasira kaenda kuua raia kama miaMbona naona taarifs twita kwamba israel kaingiza vifaru tena northeen gaza kuwatafuta hamas. Hii maana yake ni nini?
Ukiona mbwa ana bweka sana ujuwe hana jipya.Israel is silent while netanyahu is barking everyday about Iran!!
Israeli anaelewa Iran inabidi afutwe tatizo ni how?Kwa mazingira yaliyopo ni suala la muda tu, Iran akiachwa maana yake Israel utaishi kwa shida sana, kila siku itakuwa inapigana na makundi ya kigaidi.