Ndio tunataka tuone hizo hashtags,hatutaki mbwembwe.Miezi kadhaa mbele zitakua zinatembea hashtags za #Justice_For_Iran. Nimekaa Pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tunataka tuone hizo hashtags,hatutaki mbwembwe.Miezi kadhaa mbele zitakua zinatembea hashtags za #Justice_For_Iran. Nimekaa Pale.
Israel bila US,UK, FRANCE etc anaweza kupigwa hata na burundi.
Huo ndio ukweliIsrael bila US,UK, FRANCE etc anaweza kupigwa hata na burundi.
Yametua wapi wewe Al-Jazeera na umbea wao waache kuonyeshaHizo ni propaganda makombora mengi yametua.
Kila mtu ni vile ameamua kuchukua upande, hatuangalii nini kimefanyika tunaangalia nani kafanya dhidi ya naniMiezi kadhaa mbele zitakua zinatembea hashtags za #Justice_For_Iran. Nimekaa Pale.
Na hizo nchi bila Israel mindset ni bure mzeeHuo ndio ukweli
Jana waisrael wamejazana airport wanaikimbia nchi yao ya ahadi
Hata kama hayakuangua, tayari Ayatollah kaamua kutikisa mzinga wa nyuki!unarusha makombora 300 ,7 yaanaanguka Pembeni
Nani aliyokwambia tatizo una akili za kitumwa, ni walibebwa wakati wakihangaika pa kwenda wakaingia mikataba ya kulindwa ambayo hadi leo wanaiheshimu marekani na ulaya walikuwa wababe wa dunia kwa karne na karne na huu ni muendelezo tuNa hizo nchi bila Israel mindset ni bure mzee
Kwani asilaumiwe, WAKATI ukiwa Kiongozi lazima kufikiri kesho na sio leoChadomo mtaanza kulaumu Samia 🤣🤣
Hawezi!Mi nataka Israel ampuuze Biden Apeleke makombora na yeye..
Nahitaji sana kuona Hypersonics na Ballistics za Muajeme.. Zile za Dk 10 zipp Tel Aviv.
Nyi wenye akili si ndo bei ikishuka huko mnampongeza Mama, ikipanda mnasema wamepandisha kwenye soko la dunia wazee wa anaupiga mwingi, Nchi mafuriko kila kona aandae fedha za kutosha kutoa misaada kwa wananchi wake, mfikishie salamu sawa chawa!🤣Hayanaga akili hayo machadomo
Ampuuze mtoa silaha? Hata wewe ungekua israel ungefanya hivo?Mi nataka Israel ampuuze Biden Apeleke makombora na yeye..
Nahitaji sana kuona Hypersonics na Ballistics za Muajeme.. Zile za Dk 10 zipp Tel Aviv.
Kaa na kukaririshwa na mabeberu kwamba wana nguvu za kijeshi wakati ni mapunga tu. Iran kashusha mvua ya makombora ndani ya ardhi ya matapelei wa kizayuni na hakuna kitu atafanya Israel.Miezi kadhaa mbele zitakua zinatembea hashtags za #Justice_For_Iran. Nimekaa Pale.
Sio waliolianzisha kwa kuupiga ubalozi wa Iran?Hata kama hayakuangua, tayari Ayatollah kaamua kutikisa mzinga wa nyuki!
Basi bishana na AzamYametua wapi wewe Al-Jazeera na umbea wao waache kuonyesha