LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
An indirect war between the US nd Russia. The battle field is the middle east, nchi za mashariki ya kati zinafanywa chambo kila siku.
 

Attachments

  • Screenshot_20240414-085841_Instagram.jpg
    Screenshot_20240414-085841_Instagram.jpg
    165.1 KB · Views: 3
Na hizo nchi bila Israel mindset ni bure mzee
Nani aliyokwambia tatizo una akili za kitumwa, ni walibebwa wakati wakihangaika pa kwenda wakaingia mikataba ya kulindwa ambayo hadi leo wanaiheshimu marekani na ulaya walikuwa wababe wa dunia kwa karne na karne na huu ni muendelezo tu
 
Mi nataka Israel ampuuze Biden Apeleke makombora na yeye..

Nahitaji sana kuona Hypersonics na Ballistics za Muajeme.. Zile za Dk 10 zipp Tel Aviv.
Hawezi!

Kwanza sasa hivi wanafanya kazi ya kudhibiti hizi taarifa ili ionekane mifumo yao imefanikiwa kudhibiti makombora ya Iran kwenye anga lao.

Ndoyo yale yale ya Russia na Ukraine. Propaganda nyingi kuwa Russia anashindwa wakati maeneo ya Ukraine yanazidi kumegwa.
 
Hayanaga akili hayo machadomo
Nyi wenye akili si ndo bei ikishuka huko mnampongeza Mama, ikipanda mnasema wamepandisha kwenye soko la dunia wazee wa anaupiga mwingi, Nchi mafuriko kila kona aandae fedha za kutosha kutoa misaada kwa wananchi wake, mfikishie salamu sawa chawa!🤣
 
Mi nataka Israel ampuuze Biden Apeleke makombora na yeye..

Nahitaji sana kuona Hypersonics na Ballistics za Muajeme.. Zile za Dk 10 zipp Tel Aviv.
Ampuuze mtoa silaha? Hata wewe ungekua israel ungefanya hivo?
 
Back
Top Bottom